PostGE2025 Majina ya hao watu 518 ambao Chande alisema waliuliwa…

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.

Ila, hebu tujifanye kama vile hiyo tume ilikuwa ni tume serious.

Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.

Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?

Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?

Soma Pia: Jaji Chande: Waliofariki kutokana na vurugu ni 518, watoto walikuwa 21

Je, hati zao za vifo zipo?

Je, ndugu zao ni akina nani?

Nauliza hivyo kwa sababu Chande ni mzushi tu.

Sote tunajua idadi ya waliouliwa ni kubwa sana kuzidi hiyo idadi ya Chande.

Lakini kwa vile mauaji yalikuwa ni makubwa sana, Chande na wenzake wakashindwa namna ya kukana kuwa hakukuwa na mauaji, hivyo wakajitungia tu idadi yao isiyo na watu wowote wale nyuma yake.

Kama nachosena si kweli, basi na wakanushe kwa kutoa orodha ya hao watu pamoja na sifa zao na picha zao ili tuwajue.

Kinyume na hapo, Chande ni mzushi tu.
 
Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya muuaji Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.

Ila, hebu tujifanye kama vile hiyo tume ilikuwa ni tume serious.

Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.

Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?

Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?

Je, hati zao za vifo zipo?

Je, ndugu zao ni akina nani?

Nauliza hivyo kwa sababu Chande ni mzushi tu.

Sote tunajua idadi ya waliouliwa ni kubwa sana kuzidi hiyo idadi ya Chande.

Lakini kwa vile mauaji yalikuwa ni makubwa sana, Chande na wenzake wakashindwa namna ya kukana kuwa hakukuwa na mauaji, hivyo wakajitungia tu idadi yao isiyo na watu wowote wale nyuma yake.

Kama nachosena si kweli, basi na wakanushe kwa kutoa orodha ya hao watu pamoja na sifa zao na picha zao ili tuwajue.

Kinyume na hapo, Chande ni mzushi tu.
ulofa ni umaskini mbaya sana gentleman,
kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ni msingi na mwangaza wa kipekee sana wa kujitambua kwa mwanadamu, kinyume na hapo, inawezekana kabisa, upo ndrani kabisa ya kundi la wafuata mkumbo waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na matokeo yake kuumizwa vibaya na wengine kupoteza uhaiki kindezi kabisa.

Ripoti ya Jaji Chande imejitosheleza sana, ila kwa mvivu wa kusikiliza, kusoma au kuhesabuna inaweza kumchanganya sana.
 
Jibu swali la mtoa mada acha kubwabwaja tu maneno meengi unamaliza miti.

"

Je, ndugu zao ni akina nani? "

Jibu maswali weka uchawa pembeni.
 
Maandamano yajayo yatakuwa makubwa kutokea
haijulikani lini na yataanzia wapi, inatafutwa sababu tu watu wakinukishe
 
Jibu swali la mtoa mada acha kubwabwaja tu maneno meengi unamaliza miti.

"
Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?

Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?

Je, hati zao za vifo zipo?

Je, ndugu zao ni akina nani? "

Jibu maswali weka uchawa pembeni.

Huyo Tlaatlaah, uchawa umemwondolea akili, amebakia kuwa punguani mtumishi wa shetani.
Angalia maelezo yake, sidhani kama ameweza hata kuelewa swali lako.

NB. Ukishaona mtu ni chawa wa waovu, tambua kuwa mtu huyo hayupo kwenye utimamu wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu, anayejua thamani ya ubinadamu wake, halafu akubali kuwa chawa.
 
Tatizo kubwa walilokuwa nalo ni kwamba ile Obstructive tactics yao ya kuzima Internet,na kufungia social Media ili Wanyazishe,Wafiche waliifanya wakiwa wamechelewa,lengo Lao la kuzuia watu kupiga picha na kurekodi lilishindikana,walipokuja na ile story ya Vandalisti tayari Ushahidi wa kutosha ulishakuwa online hata wangesema wachukue simu za watu isingewezekana tena..Ushahidi huu unawafunga na kila aina ya mbinu wanayokuja nayo,Wamejaribu kubadilisha story imeshindikana,Wanajaribu kuleta Confusion mara picha ni za Gaza,mara ni akili mnembe,inashindikana maana tayari zilikuwa verified.
 
Kwa kweli wameaibika sana kwa uwongo wao!!

Walisema waandamanji hawakuwa watanzania, walitoka nje ya Tanzania. Sahizi wanasema waliua wananchi 518 tu!! Ni lini walikuwa siyo watamzania waligeuka na kuwa watanzania?
 
Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.
Samahani lakini.
Huo mstari kamwe usingekuwemo kwenye hiyo tume kama ulivyouweka hapa.

Lakini kuungana na maoni yako; hiyo tume ya huyo jaji mchongo, ilieleza kokote katika ripoti yake miili ya hao wahanga ilipozikwa?

Huo ni mfano mmoja tu kati ya mapungufu mengi yaliyomo ndani ya tume hiyo.

Tume haielezi chochote kuhusu walioshiriki(physically) katika mauaji hayo, kwa mfano.
 
Imagine mpaka sasa hawajamtaja hata mtu mmoja waliyemuua…..
Usijipe umhimu sana kama vile hamnazo
1. Kilichosomwa ni muhtasari wa report, yawezekana majina yapo kwenye ripoti kamili.

2. Kama unataka majina kamuulze aliyeunda tume

3. Ukiacha wehu
-nyie mnajua idadi ya waliouliwa ni wengi zaidi ya hao 518, je una majina yao na hati ya vifo kama unavyodai kama tume wana hzo rekodi?
-utafiti hupingwa kwa utafiti, tuthibitishie kuwa utafiti ule ni feki kwa kuweka hadidu ya tafiti yako.

MBINU ZENU ZMEFYATUKA. NA TANZANIA ITABAKI SALAMA.
 
ulofa ni umaskini mbaya sana gentleman,
kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ni msingi na mwangaza wa kipekee sana wa kujitambua kwa mwanadamu, kinyume na hapo, inawezekana kabisa, upo ndrani kabisa ya kundi la wafuata mkumbo waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na matokeo yake kuumizwa vibaya na wengine kupoteza uhaiki kindezi kabisa.

Ripoti ya Jaji Chande imejitosheleza sana, ila kwa mvivu wa kusikiliza, kusoma au kuhesabuna inaweza kumchanganya sana.
Hebu tupe tena ile idadi ya waliokufa Mwanza, Arusha, Dsm tujumlishe🤣🤣
 
Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.

Ila, hebu tujifanye kama vile hiyo tume ilikuwa ni tume serious.

Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.

Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?

Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?

Soma Pia: Jaji Chande: Waliofariki kutokana na vurugu ni 518, watoto walikuwa 21

Je, hati zao za vifo zipo?

Je, ndugu zao ni akina nani?

Nauliza hivyo kwa sababu Chande ni mzushi tu.

Sote tunajua idadi ya waliouliwa ni kubwa sana kuzidi hiyo idadi ya Chande.

Lakini kwa vile mauaji yalikuwa ni makubwa sana, Chande na wenzake wakashindwa namna ya kukana kuwa hakukuwa na mauaji, hivyo wakajitungia tu idadi yao isiyo na watu wowote wale nyuma yake.

Kama nachosena si kweli, basi na wakanushe kwa kutoa orodha ya hao watu pamoja na sifa zao na picha zao ili tuwajue.

Kinyume na hapo, Chande ni mzushi tu.
Huyo Bibi ameshachanganyikiwa kabisa.
 
Back
Top Bottom