PostGE2025 Majina ya hao watu 518 ambao Chande alisema waliuliwa…

PostGE2025 Majina ya hao watu 518 ambao Chande alisema waliuliwa…

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Usijipe umhimu sana kama vile hamnazo
1. Kilichosomwa ni muhtasari wa report, yawezekana majina yapo kwenye ripoti kamili.

2. Kama unataka majina kamuulze aliyeunda tume

3. Ukiacha wehu
-nyie mnajua idadi ya waliouliwa ni wengi zaidi ya hao 518, je una majina yao na hati ya vifo kama unavyodai kama tume wana hzo rekodi?
-utafiti hupingwa kwa utafiti, tuthibitishie kuwa utafiti ule ni feki kwa kuweka hadidu ya tafiti yako.

MBINU ZENU ZMEFYATUKA. NA TANZANIA ITABAKI SALAMA.
Njia nyepesi sana ya kupima usahihi na ukamilifu wa hiyo idadi ilikuwa kuitangaza online orodha ya waliouawa. Baada ya kuisoma, watu wangetoa mrejesho, kwasababu waliouawa ni wenzao—wanawajua!
 
Hebu tupe tena ile idadi ya waliokufa Mwanza, Arusha, Dsm tujumlishe🤣🤣
idadi, majina na vyote vilivyochunguzwa kulingana na hadidu za rejea vimebainishwa wazi kwenye tume ya jaji chande,

sasa wewe na mtoa hoja mnavyolingana upeo, mnajaribu tena kuleta porojo za kihisia kama ambavyo mlileta uzushi wa oct.29.2025 bila uthibitisho, na kitaalamu hiyo inaitwa nonsense
 
idadi, majina na vyote vilivyochunguzwa kulingana na hadidu za rejea vimebainishwa wazi kwenye tume ya jaji chande,

sasa wewe na mtoa hoja mnavyolingana upeo, mnajaribu tena kuleta porojo za kihisia kama ambavyo mlileta uzushi wa oct.29.2025 bila uthibitisho, na kitaalamu hiyo inaitwa nonsense
Ile hesabu hatukuielewa ndio mana Sheikh
 
Jibu swali la mtoa mada acha kubwabwaja tu maneno meengi unamaliza miti.

"
Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?

Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?

Je, hati zao za vifo zipo?

Je, ndugu zao ni akina nani? "

Jibu maswali weka uchawa pembeni.
majibu ya maswali nonsense ya kufikirika na ya kihisia yote kama hayo ya mtoa hoja na yako, yamepatiwa majawabu mujarabu sana kwenye ripoti kamili ya jaji chande,

malofa wengi na mamluki wafuata mkumbo,
hawana uwezo wa kuiskiliza wala kuisoma kama livyowasilishwa bali hujaribu kupotosha ukweli wa kilichomo kulingana na hisia zao ili kupata kiki na puplic sympathy za kijinga tu ambazo haziwasaidii chochote.

na hii ikimaanisha,
kujua kusoma, kuandika na kuhesabu hakujawakomboa kifikra kabsaaaa
 
1. Kilichosomwa ni muhtasari wa report, yawezekana majina yapo kwenye ripoti kamili.
Wekeni ripoti hadharani , tuone majina na mahali walioouwawa.
Kisha watu waone ndugu zao waliyo uwawa walihesabiwa?
Hii ngoma mbichi sana.
There is a high possibility that some deaths remain unaccounted for.
 
utaielewaje hali yakua umejawa mihemko na huwezi kuiskiliza wala kuisoma kama ilivyo?
Hiyo ya kujawa mihemko unanisingizia tu na ni kama unakimbilia kujidefend ilihali mimi hata kw y mambo ya siasa sipo Sheikh. Mimi nilishangazwa tu na Idadi
 
Idadi waliyotoa ni feki hivyo hata majina hawatoweza kuja kuyatoa.

Idadi waliyotoa ni feki hivyo hata majina hawatoweza kuja kuyatoa.
Tume fake ilitengenezwa ili ifanye uchunguzi ambao uko controlled na Serikali ili kulinda Viongozi wa juu wanaohusika,lengo ni kukwamisha Uchunguzi wa Wazi na huru ambao hauko controlled na Serikali na scope ya Uchunguzi yao pia iko limited kwa sababu,hivyo kamwe hawawezi kutoa Majina na wala idadi ya ukweli.Kitu ambacho Watanzania Walifanya vizuri sana ni kurekodi Ushahidi,Mange pia aliwazidi akili kuweka kila kitu X,kuifungia account yake ya Instagram kulichelewa..
 
ulofa ni umaskini mbaya sana gentleman,
kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ni msingi na mwangaza wa kipekee sana wa kujitambua kwa mwanadamu, kinyume na hapo, inawezekana kabisa, upo ndrani kabisa ya kundi la wafuata mkumbo waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na matokeo yake kuumizwa vibaya na wengine kupoteza uhaiki kindezi kabisa.

Ripoti ya Jaji Chande imejitosheleza sana, ila kwa mvivu wa kusikiliza, kusoma au kuhesabuna inaweza kumchanganya sana.
Taja majina matano pamoja na wasifu wao, ya watu mliowaua.
 
Taja majina matano pamoja na wasifu wao, ya watu mliowaua.
haikua kazi ya tume ila majina yapo kwakua waliopoteza ndugu zao waliyataja mbele ya tume pamoja na AZAKI zilizo wapa mafunzo na zilizo wafadhili watu hao kujiingiza kwenye ugaidi na hatimae kupoteza maisha
 
Hiyo ya kujawa mihemko unanisingizia tu na ni kama unakimbilia kujidefend ilihali mimi hata kw y mambo ya siasa sipo Sheikh. Mimi nilishangazwa tu na Idadi
Kama mwamnasiasa mwandamizi,
siana haja ya kujidefendi kwa mfuata mkumbo yoyote yule ambae ni mvivu wa kusikiliza au kuisoma kwa makini ripoti ya tume ambayo ina majawabu yote mujarabu sana ya vijiswali vya kutafuta kiki na public sympathy kama vya mtoa hoja
 
This is far beyond their thinking capacity brother!
 
List itoke tuhakiki, I know 2 people who were shot nyumbani kwao
 
Hapo kwenye majina Hapo ndo pagumu.

Maana wakitoa majina, tutawadai na picha za hao marehemu na tutawatafuta ndugu zao tuwahoji zaidi.

Kwa vile tunajua wanadanganya, kamwe hawatotoa majina ya watu waliowaua.
Naam , wauaji wanafikiri wataficha miaka yote kumbe kuna siku hata haipo mbali tutaujua ukweli.
 
Back
Top Bottom