babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Endelea kubeba mabox yako we mbwiga,
Unaelewa msiba wa watu 500?
Dar salaam yote wangekua na misiba,
hiyo idadi mnatoa wapi?
Waliuliwa wawili--watatu kupoteza machafuko tena kiubishi.
Hao wengine mmetoa wapi?mbona wako tu mtaani na boda zao
Unaelewa msiba wa watu 500?
Dar salaam yote wangekua na misiba,
hiyo idadi mnatoa wapi?
Waliuliwa wawili--watatu kupoteza machafuko tena kiubishi.
Hao wengine mmetoa wapi?mbona wako tu mtaani na boda zao