Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Imagine mpaka sasa hawajamtaja hata mtu mmoja waliyemuua…..Tume feki
Majina feki
Ripoti feki
ulofa ni umaskini mbaya sana gentleman,Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya muuaji Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.
Ila, hebu tujifanye kama vile hiyo tume ilikuwa ni tume serious.
Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.
Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?
Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?
Je, hati zao za vifo zipo?
Je, ndugu zao ni akina nani?
Nauliza hivyo kwa sababu Chande ni mzushi tu.
Sote tunajua idadi ya waliouliwa ni kubwa sana kuzidi hiyo idadi ya Chande.
Lakini kwa vile mauaji yalikuwa ni makubwa sana, Chande na wenzake wakashindwa namna ya kukana kuwa hakukuwa na mauaji, hivyo wakajitungia tu idadi yao isiyo na watu wowote wale nyuma yake.
Kama nachosena si kweli, basi na wakanushe kwa kutoa orodha ya hao watu pamoja na sifa zao na picha zao ili tuwajue.
Kinyume na hapo, Chande ni mzushi tu.
Jibu swali la mtoa mada acha kubwabwaja tu maneno meengi unamaliza miti.ulofa ni umaskini mbaya sana gentleman,
kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ni msingi na mwangaza wa kipekee sana wa kujitambua kwa mwanadamu, kinyume na hapo, inawezekana kabisa, upo ndrani kabisa ya kundi la wafuata mkumbo waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na matokeo yake kuumizwa vibaya na wengine kupoteza uhaiki kindezi kabisa.
Ripoti ya Jaji Chande imejitosheleza sana, ila kwa mvivu wa kusikiliza, kusoma au kuhesabuna inaweza kumchanganya sana.
Ninachokifahamu ni Kwamba Chande atakamatwaTume feki
Majina feki
Ripoti feki
The guilty are afraid!Imagine mpaka sasa hawajamtaja hata mtu mmoja waliyemuua…..
Jibu swali la mtoa mada acha kubwabwaja tu maneno meengi unamaliza miti.
"
Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?
Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?
Je, hati zao za vifo zipo?
Je, ndugu zao ni akina nani? "
Jibu maswali weka uchawa pembeni.
Tatizo kubwa walilokuwa nalo ni kwamba ile Obstructive tactics yao ya kuzima Internet,na kufungia social Media ili Wanyazishe,Wafiche waliifanya wakiwa wamechelewa,lengo Lao la kuzuia watu kupiga picha na kurekodi lilishindikana,walipokuja na ile story ya Vandalisti tayari Ushahidi wa kutosha ulishakuwa online hata wangesema wachukue simu za watu isingewezekana tena..Ushahidi huu unawafunga na kila aina ya mbinu wanayokuja nayo,Wamejaribu kubadilisha story imeshindikana,Wanajaribu kuleta Confusion mara picha ni za Gaza,mara ni akili mnembe,inashindikana maana tayari zilikuwa verified.
Samahani lakini.Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.
Yes, kila kitu feki, including mamlaka ya uteuzi.Tume feki
Majina feki
Ripoti feki
Matako ya Baba ako.😠Ripoti ya Jaji Chande imejitosheleza sana, ila kwa mvivu wa kusikiliza, kusoma au kuhesabuna inaweza kumchanganya s
Usijipe umhimu sana kama vile hamnazoImagine mpaka sasa hawajamtaja hata mtu mmoja waliyemuua…..
Hebu tupe tena ile idadi ya waliokufa Mwanza, Arusha, Dsm tujumlishe🤣🤣ulofa ni umaskini mbaya sana gentleman,
kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ni msingi na mwangaza wa kipekee sana wa kujitambua kwa mwanadamu, kinyume na hapo, inawezekana kabisa, upo ndrani kabisa ya kundi la wafuata mkumbo waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na matokeo yake kuumizwa vibaya na wengine kupoteza uhaiki kindezi kabisa.
Ripoti ya Jaji Chande imejitosheleza sana, ila kwa mvivu wa kusikiliza, kusoma au kuhesabuna inaweza kumchanganya sana.
Huyo Bibi ameshachanganyikiwa kabisa.Wote wenye akili tunajua kwamba tume ya Samia iliyokuwa chini ya uenyekiti wa jaji mkuu wa zamani [sielewi hata huo ujaji mkuu aliupataje], ilikuwa si tume bali ni geresha tu.
Ila, hebu tujifanye kama vile hiyo tume ilikuwa ni tume serious.
Hiyo tume ilikuja na mahesabu yake. Ikadai kuwa watu 518 ndo waliuliwa na wahuni waliotumwa na muuaji Samia.
Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?
Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?
Soma Pia: Jaji Chande: Waliofariki kutokana na vurugu ni 518, watoto walikuwa 21