komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Sijaanza kuwajadili, ama kuwahusudu. Nilijibu hoja kwamba black American wana maisha mazuri. Nikasema hapana,, uzuri kimaisha ni mtazamo tu.Na wao hawaoni kama unawazidi Sasa sijui ni shobo au nini mpaka uwajadili watu ambao wanafurahia maisha Yao wakiwa America na wewe upo Kwa mtogole
Ndio ushawajadili Sasa na wewe lazima ujadiliweSijaanza kuwajadili, ama kuwahusudu. Nilijibu hoja kwamba black American wana maisha mazuri. Nikasema hapana,, uzuri kimaisha ni mtazamo tu.
Ndio maana nasema wewe akili huna ungekua unafata asili hata hiyo simu sio asili Yako imetengenezwa na mweupe mbona unai
Ndugu,, jadili lolote kunihusu/kutuhusu waafrika weusi. Hujakatazwa.Ndio ushawajadili Sasa na wewe lazima ujadiliwe
Wewe huna lolote ningekuona unafata Mila usingetumia hiyo simu hivyo inaonesha umasikini unakusumbuaNdugu,, jadili lolote kunihusu/kutuhusu waafrika weusi. Hujakatazwa.
Ukimuoa Mhindi ukaja naye Tanzania, wahindi wenzake ili kuepusha aibu watamchangia mamilioni kumtorosha arudi kwao. Labda ukioa uishi naye nchi zilizoendelea. Ila kwao wanalala kwenye madararaja na corridor za duka.Ukitaka wahindi nenda India. Utarudi nao kwa mafungu makubwa kama nyanya za masala soko la Mabibo. Waarabu, shida yao wanakata mkono kwanza. Ukirudia wanakata ile kitu.
Ila nenda Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga etc. Kule nako utarudisha timu mwenyewe nyuma. Kiufupi usiogope kitu
Unachanganya hoja. Usihamishe mjadala rafiki. Matumizi ya simu, au gari au ndege au chochote sio mjadala. Kudharau asili yetu ndio hoja tu.Wewe huna lolote ningekuona unafata Mila usingetumia hiyo simu hivyo inaonesha umasikini unakusumbua
Ndio maana nakuambia Huna akili tengeneza simu Yako tengeneza gari lako hivyo vyote ni asili za watu wewe mweusi umeviingilia asili Yako wewe sio hivyo vituUnachanganya hoja. Usihamishe mjadala rafiki. Matumizi ya simu, au gari au ndege au chochote sio mjadala. Kudharau asili yetu ndio hoja tu.
eehYana roho wachafu😂
Unapenda kusemea akili,, akili. Haya nihakikishie kuwa wewe kutumia majina ya kizungu kunakuongezea akili. Na mimi kuitwa majina ya kibantu kunanipunguzia akili.Ndio maana nakuambia Huna akili tengeneza simu Yako tengeneza gari lako hivyo vyote ni asili za watu wewe mweusi umeviingilia umasikini unakusumbua asili Yako wewe sio hivyo vitu
Nimeshakuambia kama unatumia simu wewe huna lolote ushaingilia tamaduni za watu wakati wewe ni mweusi tii kama lamiUnapenda kusemea akili,, akili. Haya nihakikishie kuwa wewe kutumia majina ya kizungu kunakuongezea akili. Na mimi kuitwa majina ya kibantu kunanipunguzia akili.
Haya mtetezi wa wazungu. Siwezi kushindana na shabiki lia lia wa wazungu. Baki na wazungu na majina yao. Mtoa mada hakusema habari za simu. Amesema majina ya kibantu. Umeitumia hoja ya simu ili kujipatia ushindi wa kuwatetea wazungu na waarabu.Nimeshakuambia kama unatumia simu wewe huna lolote ushaingilia tamaduni za watu wakati wewe ni mweusi tii kama lami
Narudia tena kama unatumia simu huna lolote umeingilia tamaduni za watu hapa mada ni tamaduniHaya mtetezi wa wazungu. Siwezi kushindana na shabiki lia lia wa wazungu. Baki na wazungu na majina yao. Mtoa mada hakusema habari za simu. Amesema majina ya kibantu. Umeitumia hoja ya simu ili kujipatia ushindi wa kuwatetea wazungu na waarabu.
Narudia tena kama unatumia simu huna lolote umeingilia tamaduni za watu hapa mada ni tamadun
Anzisha mada yako ya simu, mada ilihusu kupapatikia majina ya waupe tena wazungu na waarabu. Wewe niache na uafrika wangu, nawe baki na uzungu uchwara wako.Narudia tena kama unatumia simu huna lolote umeingilia tamaduni za watu hapa mada ni tamaduni
Ukishatumia simu huna lolote wewe endelea kuigiza Mimi sio muafrica nachukia uafrica sababu ni unyani mfano wewe ni nyani kamiliAnzisha mada yako ya simu, mada ilihusu kupapatikia majina ya waupe tena wazungu na waarabu. Wewe niache na uafrika wangu, nawe baki na uzungu uchwara wako.
Sawa. Mzungu.Ukishatumia simu huna lolote wewe endelea kuigiza Mimi sio muafrica nachukia uafrica sababu ni unyani mfano wewe ni nyani kamili
Sawa nyaniSawa. Mzungu.