Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Halafu kuna sumu imepandikizwa kwa wazazi hasa wakike wanadai majina ya babu zetu ya akina mabula, Kitundu, Mwakipesile, Mshana, Mtemi, Shirima nk yamebeba mikosi wao huwapa watoto majina ya kwenye muvi sio waislam sio wakristo ukifuatilia sana unakuta chanzo ni baadhi ya viongozi wa dini ndio huwashawishi kukataa majina ya mababu zetu. Ni dhambi kubwa sana binadamu kupoteza identy yako, binafsi mimi sijui kuzungumza lugha ya asili yangu kutokana na mazingira nilikulia ila nilipenda sana kizazi changu kije kifahamu kwa kuoa mwanamke mwenye kufahamu kuzungumza kabila langu ila hili nalo lilishindikana ila kuhusu jina hapo nimepadhibiti watoto wangu pamoja na majina ya kibiblia lakini jina la ukoo yaani la tatu ni lazima.
Tatizo la kupoteza identity na miiko ni baya sana inafikia wakati binadamu unaweza kuishi kama mnyama, fuatilia maisha ya black Amerca wengi ndio utatambua hilo.
 
Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.

Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.

Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.

Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.

Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.

Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.

Wao hawana huu ujinga.

Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.

Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.

Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Euzebius mwakapongo nipo hapa
 
Majina yetu na ya kizungu hayana tofauti mbona. Tatizo ni lugha ndio imetofautisha . Ni kama vile ukute makande pale kempisk. Utakuta jina utafikir anakuuzia mbingu kumbe makande.
Hivi pale kempiski nikilipia chumba cha ghamara zaidi alafu nikawaambia dinner nataka makande watapika kweli
 
Nilikuwa naangalia Olympics hii majuzi.
Tunatia kinyaa.
Waafrika ndiyo tumebeba majina ya hao wenzetu.
Wao wana yao.

Ferdinand wa Uswisi huko anashangaa Ferdinand Cheusi amepataje jina la ukoo wake!
Kwani Daudi Kwa kiyahudi inatamkwaje?
 
Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.

Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.

Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.

Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.

Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.

Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.

Wao hawana huu ujinga.

Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.

Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.

Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
watakuja kukupopoa mawe
 
Back
Top Bottom