Sio kweli.Huko tuendako mtataka kisa ni waafrika basi wavae na kula kama Wahadzabe, pia wasiende shule na waachane na nyumba za kisasa, pia wakiumwa watibiwe na mitishamba
Euzebius mwakapongo nipo hapaNdugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Jina languEusebius ni jina la wapi hilo mkuu?
Greek Syro-PalestinianEusebius ni jina la wapi hilo mkuu?
Hivi pale kempiski nikilipia chumba cha ghamara zaidi alafu nikawaambia dinner nataka makande watapika kweliMajina yetu na ya kizungu hayana tofauti mbona. Tatizo ni lugha ndio imetofautisha . Ni kama vile ukute makande pale kempisk. Utakuta jina utafikir anakuuzia mbingu kumbe makande.
Ileje tumekukosea nini Mkuu?😂Imajin mtu anaitwa Stone na ana Mafanikio hatari kulinganisha na Isakwisa mchonga mianzi kule ileje.
😀Majina yetu na ya kizungu hayana tofauti mbona. Tatizo ni lugha ndio imetofautisha . Ni kama vile ukute makande pale kempisk. Utakuta jina utafikir anakuuzia mbingu kumbe makande.
Wanapika mnama sema wanapamba na kuyaita jina kuubwa kumbe ni makande.Hivi pale kempiski nikilipia chumba cha ghamara zaidi alafu nikawaambia dinner nataka makande watapika kweli
Makande yapoHivi pale kempiski nikilipia chumba cha ghamara zaidi alafu nikawaambia dinner nataka makande watapika kweli
Kwani Daudi Kwa kiyahudi inatamkwaje?Nilikuwa naangalia Olympics hii majuzi.
Tunatia kinyaa.
Waafrika ndiyo tumebeba majina ya hao wenzetu.
Wao wana yao.
Ferdinand wa Uswisi huko anashangaa Ferdinand Cheusi amepataje jina la ukoo wake!
watakuja kukupopoa maweNdugu wanaJF,