Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Halafu ukikuta wabongo wenye 'exposure'. Wapo huko nje.
Wao huwa na upendo na majina ya kwao.

Unakuta wanawapa watoto wao majina ya kiafrika Kama vile Akili, Imara, Kweli, Malaika, n.k wakiwa huko huko Ulaya au Marekani.
Lakini mtu upo Nachingwea unataka mwanao awe Clinton Jones Schwarzenegger!
 
Sasa maana yake si unamuambia tu.

Hata ukimuita Mary, hawezi kujua maana ya Mary ni nini mpaka umueleze.
Kwanini usimpe jina la asili yake Kisha umwambie maana yake?
Kwanini Wachaga hawa wapi wanao majina ya Kihaya au Wazaramo hawapi watoto majina ya Kinyakisya.?
 
Swa Tatizo lipo kwenye maana ya haya majina...
 
Mtu mweusi hana Utamaduni,baada ya kuwa concurred na Wazungu wakafaniliwa kuweka superiority zao ndio Hadi Leo hii Utasikia mtu anaitwa Love ila kuitwa Lukundo au Lukindo na Majina mengine yenye maana hiyo hiyo hataki kisa tuu hayana hizo Colonia tags.

Ujinga mtupu.
 
Kwanini wazungu mkuu? Je Nasri au Zayd nalo ni la kizungu?πŸ˜€πŸ˜€
 
Pia kwanini umeamua kujiita ChoiceVariable na sio Lukundo hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…