Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Bado, sioni sababu ya kutumia majina ya kizungu hata kama yana maana nzuri. Weusi pia tuna majina yenye maana nzuri.
Mfano, wagogo tunaposema Mwendwa, maana yake ni mpemdwa, Manvula, ni aliyezaliwa wakati wa mvua. Akili ya kawaida tu inakuambia sisi bado ni watumwa tuliorogwa na kubadilishwa akili na waarabu, wazungu kwa kisingizio cha dini.
 
Kanisa katoliki wanaongoza kukataza majina ya kiafrika au ya kiswahili.
Hii hutegemea na kasisi anaye batiza, wengine hawana shida.
Kuna Padri mmoja aliishi zambia akaniambia kule mtu anakuja kumbatiza mtoto amempa jina la Chikwende au chimala, ukimkatalia anachomoka na unampoteza muumini ivi ivi, so chagua mwenyewe.
 
Una bahati nzuri sana mkuu.

Wengine tulipewa majina ya kizungu na wazazi, tumesomea na kuyatumia mpaka tunajitambua na kuanza kuchanganua mambo kwa mapana zaidi.
Sasa tupo katika mchakato wa kufanya marekebisho.
Jamaa yangu mmoja ana majina ya kizungu. Lakini wanae wote katwanga ya kibantu na ana watoto 7. Mabadiliko lazima yafanyike.
 
Kuna Padri mmoja aliishi zambia akaniambia kule mtu anakuja kumbatiza mtoto amempa jina la Chikwende au chimala, ukimkatalia anachomoka na unampoteza muumini ivi ivi, so chagua mwenyewe.
Huo ndio uanaume na wanawake jasiri wa kiafrica. Dini sawa ila usilazimishe niiache lugha na majina yangu eti ya kishetani. Kwani wazungu hawana mashetani ?
 
Acha ushamba maisha ya black Americans ni mazuri kuliko Yako usitake kudanganya watu hapa
 
Waaftika tuna mambo ya kijinga sana. Tunapenda kushobokea vitu vya kixungu
 
Ubantu utaisha, lakini Unailoti hautaisha nakuambia, kuanzia lifestyle kama mavazi na hata Lugha

Kwa Mfano mimi naitwa

" LOBULU LASARUNYE LOPURUKWA LAIZER" kutoka Longonot'
 
Kuna Padri mmoja aliishi zambia akaniambia kule mtu anakuja kumbatiza mtoto amempa jina la Chikwende au chimala, ukimkatalia anachomoka na unampoteza muumini ivi ivi, so chagua mwenyewe.
Padri alikuwa analikataa jina la mtoto wangu, nikatoa amri hawataki jina hilo basi asibatizwe.
Jina limesha andikwa kwenye cheti Cha kuzaliwa yeye analazimisha tumpe kingine mwisho alikubali kumbatiza kwa jina nililompa mimi.
Hiyo jijini Dar nadhani ingekuwa vijijini wazazi wangeshindwa.
 
Nigeria ndo wana utamaduni bora majina:
Abba
Abike
Abiola
Ade
Adekunle
Aina
Ariyo
Ayinde
Yaani kila jina lina asili yake ❤️
MAASAI MEN

Losaru
Lobulu
Logotu
Longishu
Loo Mbesai
Losujaki
Lomayan
Loserian
Losyeku
Naomi

MAASAI WOMEN

Nossim
Nana
Nasyeku
Naserian
Namayan
Nongishu
Noo Mbesai
Naisujak
Nabulu
Naomi
 
Ubantu utaisha, lakini Unailoti hautaisha nakuambia, kuanzia lifestyle kama mavazi na hata Lugha

Kwa Mfano mimi naitwa

" LOBULU LASARUNYE LOPURUKWA LAIZER" kutoka Longonot'
Saa hizi maasai wanaitwa Yohana.
Wanavaa nguo za kawaida.
Mdogo mdogo wanabadilika na kuacha asili.
 
Acha ushamba jina ni jina tu hapa duniani kwahiyo ukijiita Kombat au masumbuko ndio utapata pesa au jina lolote ni sawa ilimradi sio tusi
 
Wewe ni nyani halali Yako kuita wanao hayo majina ya kibantu sababu wanao nao. Ni nyani
 
We ndio mpumbavu unaavha kutafuta hela unaendekeza mila huku ni fukara hiyo ni akili au matope mijitu mieusi kweli akili aina
Hela gani bila kulinda usalama wa taifa sindiyo yanatukuta kama haya ya Raia feki kukamata serikali matokeo yake ni mali za nchi kuuzwa na kusombwa kupelekwa nje ya nchi ....raia feki wengi hawawezi kutumia majina yao ya ukoo maana wanaweza kutambulika na wanaogopa kutumia ya koo za tz maana hawajui asili ya hizo koo wengi wanamajina ya kizungu au kiarabu tupu
 
Wewe kweli hujielewi kwahiyo ukitumia jina la masumbuko au shida ndio nchi haiibiwi aisee kweli nyani akili yake ni ya kinyani wewe hata utumie jina gani mzungu akitaka Mali anabeba mchana kweupe na huna la kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…