Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Muite mwanzo Bakhresa aje kuwa tajiri taahira weweSasa ndo umuite mwanao Mwashambwa, Ndumbangwe, Masumbuko, Paramagamba? Chakufia nini? Ni laana tu unampa kwenye future yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muite mwanzo Bakhresa aje kuwa tajiri taahira weweSasa ndo umuite mwanao Mwashambwa, Ndumbangwe, Masumbuko, Paramagamba? Chakufia nini? Ni laana tu unampa kwenye future yake.
Muite mwanzo Bakhresa aje kuwa tajiri taahira wewe
Hili jina unalotumia JF ni la asili gani?Wewe unalijua jina langu?
Unapaswa uanze na wewe, kwa kuwapa majina yako mwenyeweNdugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu. Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, Wachina, Wahindi na Waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, Waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Inawezekana hujui maana ya jina. Title na jina ni vitu viwili tofauti.Kwani Komeo la Chuma ni jina mkuu?
Hizi titles za JF si majina tunayojadili hapa.
Tunaongelea majina halisi ya kwenye vyeti na mitaani.
Najua title na jina ni vitu tofauti.Inawezekana hujui maana ya jina. Title na jina ni vitu viwili tofauti.
Siyo titles. Kumbe huelewi. Unapo sign panaandikwa title au user name? Kumbe kuna mengi huyajui. Hilo ndo jina lako unalotumia humu.Najua title na jina ni vitu tofauti.
Nadhani wewe ndiyo unajichanganya.
Name identifies an individual or entity (e.g., "Emily," "New York").
Title provides a description or indicates the subject or position (e.g., "The Lord of the Rings," "CEO," "Mr.").
Sasa kama wewe unaona City Owl au Komeo la Chuma ni jina, sawa.
Mimi naona ni titles hizo.