Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Wachagga kuanzia mwaka 2027 , wamekubaliana watakuwa wanatumia majina ya kiasli yenye maana na kuachana na haya majina ya Mabeberu yasiyo na maana.
Wazazi Gen Z wamekuja na majina yasiyo na maana na mengi ya majina yamebeba laana, mfao mtu anamuita mtoto , Lyyn , Ashley , gynna, vicious, Ammy, Nicole, Shania, Abby, Emmy, Shadya,
MAJINA YAKIKE YA KUTUMIA 2027:-
Ikunda = upendo
Anansia = anafuraha
Aikande = asante baba
Anaufoo = ana upole
Aika = asante
Nsia = furaha
Ana = shukuru
Ruyaeli = tafuta hii
Mesia = masihi
Eliasante = asante hii
Ndensia = baba furaha
Aluseta = ametufurahisha
Elieshi = anajua hii
Elisaria = hii ni neema
Eliayo = kwa kuwa yupo
Aimbora = hii baraka
Eliukundi = huu ni upendo
Nkiraningaya = mwokozi sikia
Apaufoo = upole uliopitiliza
Eliuruma/ Elisaria = hii ni huruma/ neema
MAJINA YA KIUME YA WACHAGGA :--
Wazazi Gen Z wamekuja na majina yasiyo na maana na mengi ya majina yamebeba laana, mfao mtu anamuita mtoto , Lyyn , Ashley , gynna, vicious, Ammy, Nicole, Shania, Abby, Emmy, Shadya,
- Aisha – miungu ya maji
- Alat – miungu ya kike ya Astral
- Alia – Ametukuka; mtukufu
- Alilat – miungu ya kike ya Arabia
- Allat – Mama wa kale
- Al-Lat – miungu ya uzazi
- Allatum – miungu ya chini ya ardhi
- Al-Uzza – Mwenye nguvu
- Amal – Tumaini; hamu
- Aphrodite – miungu ya kike ya Uigiriki
- Ash-Shir – miungu ya kike ya Makka
- Asiya – Mtu anayeelekea wanyonge; mke wa Firauni na mama mlezi wa Musa
- Asma – Bora; juu; maarufu
- Atargatis – miungu ya uzazi
- Athirat – miungu ya kike ya Qataban
- Athiratan – miungu ya uzazi
- Ayah – Ishara; muujiza
- Ayesha – Hai; yeye anayeishi
- Aziza – Mpendwa; kuthaminiwa
- Baalat-Sahra – miungu ya kike wa ulimwengu wa chini
- Chaabou – miungu ya kike katika pantheon ya Nabataea
- Dhat-Badan – miungu ya kike ya oasisi
- Dhat-Sanat – miungu ya kike wa Qataban
- Dhtu-Badan – miungu ya oasisi
- Duwar – miungu ya kike
- Faiza – Mshindi; mafanikio
- Fatima – miungu ya mwezi
- Ghada – Mwanamke mzuri kijana
- Ghul – Roho za Kike
- Habiba – Mpendwa; mpenzi
- Hafsah – Simba jike; mke wa Mtume Muhamma
- Harimtu – miungu ya uzazi
MAJINA YAKIKE YA KUTUMIA 2027:-
Ikunda = upendo
Anansia = anafuraha
Aikande = asante baba
Anaufoo = ana upole
Aika = asante
Nsia = furaha
Ana = shukuru
Ruyaeli = tafuta hii
Mesia = masihi
Eliasante = asante hii
Ndensia = baba furaha
Aluseta = ametufurahisha
Elieshi = anajua hii
Elisaria = hii ni neema
Eliayo = kwa kuwa yupo
Aimbora = hii baraka
Eliukundi = huu ni upendo
Nkiraningaya = mwokozi sikia
Apaufoo = upole uliopitiliza
Eliuruma/ Elisaria = hii ni huruma/ neema
MAJINA YA KIUME YA WACHAGGA :--
- Eshimendi = anajua mda
- Nkakyenyi = mwamke wa nyumbani
- Nkamai = wajina wa bibi
- Shiwikyansia = niwekee furaha
- 25.Elikunda = huu upendo
- MAJINA YA WANAUME
- Saria = neema/same he
- Eshiwakwe = anajua wake
- Kubwaeli = kumbuka hii
- Kundasenyi = penda kwenye nuru
- Wangaeli = ita
- Elimuhidimi = kwakuwa anatosha
- Wangandumi = muite bwana
- Werandumi = msubiri bwana
- Irrikyaeli = kubali hili/ hii
- Isawafoo = chunga wako
- Shisalalya = nisimamie
- Elingao = hii ni ngao
- Kusirie = amini
- Onasaa = ona nuru
- Aleonasaa = amepata nuru
- Shekyandumi = nisaidie bwana
- Shekyaeli = nisaidie hii/hiki
- Eliapenda = penda hii
- Elineema = neema hii
- Ndemfoo = bwana ni mpole
- Lookenyi = paza sauti
- Keshenyi = lalashowi
- Lalashowi = keshenyi
- Elyiakwani = kwa kuwa wanahusiana
- Ndelutarami = bwana tusaidie
- Anandumi = shukuru bwana
- Anaeli = shukuru hii
- Shifoya = nisamehe
- Ndenisari = baba ni mwenye nisamehe
- Oshoraeli = omba hii
- Ringaufoo = chunga upole
- Wariaeli = pokea hii
- Terewaeli = omba hii
- Aranyandumi = msikilize bwana
- Shilelandumi = bwana nilee
- Endwasen = aletwe nuruni
- Furahanaeli = furahia hii
- Akiraeli = okoa hii
- Furandumi = furahua bwana
- Shisaria = nisamehe
- Shimarisaeli = nimemaliza hili
- Winyaeli = sumbukia hili
- Alesanjo = ameoshwa
- Ekyandumi = msaidie bwana
- Elishifwaya = nisamehe hii.
- Arakyasaa = ngoja ahadi
- Akaufoo= huu ndio upole
- Shisandumi = bwana nichunge
- Furanaeli = furahia