Majina ya kichaga yatakayoanza kutumika 2027

Kabla sijawa na mtoto niliazimia watoto wangu nitawaita majina ya kiswahili mfano , baraka, upendo, furaha,tumaini, neema, nk
Badala yake niko na mtoto wa tatu lakini majina yote yanatajika kizungu.
Wa kwanza Mungu ndie mwamuzi wangu , wa pili furahia, wa tatu Mungu anaye nipa kushinda.

Binafsi ni mchaga ila maana ya majina mengi hayapo sahihi
 
alilenga kuonyesha maana ya hayo majina....sio hayo ya kiarabu tu , yapo majina mengini hata ya kikristo na kiswahili huwezi kumwita mtoto wako kama unajua maana yake...ndio yale yake ya kumwita mtoto Tabu, Masumbuko, Sikujua....
Sisi Waha hayo majina tunayakubali sana na hayana noma
 
Sijawahi na sitokuja kuita Wanangu majina ya kizungu au kiarabu.
 
umeshasema "Waha" endeleeni kuwaita hivyo ili wachota maji, wauza miwa, wauza karanga na wapasua kuni wasiishe mjini
 
Sijawahi na sitokuja kuita Wanangu majina ya kizungu au kiarabu.
mleta uzi hajazungumzia majina ya kizungu wala kiarabu....mwite jina lolote hata la kienyeji lkn je! jina unalompa mtoto wako lina maana gani? jina hubeba future ya mtu...
 
Majina ya kwetu Africa Yana maana
 
Back
Top Bottom