Majina ya kichaga yatakayoanza kutumika 2027

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Wachagga kuanzia mwaka 2027 , wamekubaliana watakuwa wanatumia majina ya kiasli yenye maana na kuachana na haya majina ya Mabeberu yasiyo na maana.

Wazazi Gen Z wamekuja na majina yasiyo na maana na mengi ya majina yamebeba laana, mfao mtu anamuita mtoto , Lyyn , Ashley , gynna, vicious, Ammy, Nicole, Shania, Abby, Emmy, Shadya,

  1. Aisha – miungu ya maji
  2. Alat – miungu ya kike ya Astral
  3. Alia – Ametukuka; mtukufu
  4. Alilat – miungu ya kike ya Arabia
  5. Allat – Mama wa kale
  6. Al-Lat – miungu ya uzazi
  7. Allatum – miungu ya chini ya ardhi
  8. Al-Uzza – Mwenye nguvu
  9. Amal – Tumaini; hamu
  10. Aphrodite – miungu ya kike ya Uigiriki
  11. Ash-Shir – miungu ya kike ya Makka
  12. Asiya – Mtu anayeelekea wanyonge; mke wa Firauni na mama mlezi wa Musa
  13. Asma – Bora; juu; maarufu
  14. Atargatis – miungu ya uzazi
  15. Athirat – miungu ya kike ya Qataban
  16. Athiratan – miungu ya uzazi
  17. Ayah – Ishara; muujiza
  18. Ayesha – Hai; yeye anayeishi
  19. Aziza – Mpendwa; kuthaminiwa
  20. Baalat-Sahra – miungu ya kike wa ulimwengu wa chini
  21. Chaabou – miungu ya kike katika pantheon ya Nabataea
  22. Dhat-Badan – miungu ya kike ya oasisi
  23. Dhat-Sanat – miungu ya kike wa Qataban
  24. Dhtu-Badan – miungu ya oasisi
  25. Duwar – miungu ya kike
  26. Faiza – Mshindi; mafanikio
  27. Fatima – miungu ya mwezi
  28. Ghada – Mwanamke mzuri kijana
  29. Ghul – Roho za Kike
  30. Habiba – Mpendwa; mpenzi
  31. Hafsah – Simba jike; mke wa Mtume Muhamma
  32. Harimtu – miungu ya uzazi

MAJINA YAKIKE YA KUTUMIA 2027:-

Ikunda = upendo
Anansia = anafuraha
Aikande = asante baba
Anaufoo = ana upole
Aika = asante
Nsia = furaha
Ana = shukuru
Ruyaeli = tafuta hii
Mesia = masihi
Eliasante = asante hii
Ndensia = baba furaha
Aluseta = ametufurahisha
Elieshi = anajua hii

Elisaria = hii ni neema

Eliayo = kwa kuwa yupo
Aimbora = hii baraka
Eliukundi = huu ni upendo
Nkiraningaya = mwokozi sikia
Apaufoo = upole uliopitiliza
Eliuruma/ Elisaria = hii ni huruma/ neema


MAJINA YA KIUME YA WACHAGGA :--
  • Eshimendi = anajua mda
  • Nkakyenyi = mwamke wa nyumbani
  • Nkamai = wajina wa bibi
  • Shiwikyansia = niwekee furaha
  • 25.Elikunda = huu upendo
  • MAJINA YA WANAUME
  • Saria = neema/same he
  • Eshiwakwe = anajua wake
  • Kubwaeli = kumbuka hii
  • Kundasenyi = penda kwenye nuru
  • Wangaeli = ita
  • Elimuhidimi = kwakuwa anatosha
  • Wangandumi = muite bwana
  • Werandumi = msubiri bwana
  • Irrikyaeli = kubali hili/ hii
  • Isawafoo = chunga wako
  • Shisalalya = nisimamie
  • Elingao = hii ni ngao
  • Kusirie = amini
  • Onasaa = ona nuru
  • Aleonasaa = amepata nuru
  • Shekyandumi = nisaidie bwana
  • Shekyaeli = nisaidie hii/hiki
  • Eliapenda = penda hii
  • Elineema = neema hii
  • Ndemfoo = bwana ni mpole
  • Lookenyi = paza sauti
  • Keshenyi = lalashowi
  • Lalashowi = keshenyi
  • Elyiakwani = kwa kuwa wanahusiana
  • Ndelutarami = bwana tusaidie
  • Anandumi = shukuru bwana
  • Anaeli = shukuru hii
  • Shifoya = nisamehe
  • Ndenisari = baba ni mwenye nisamehe
  • Oshoraeli = omba hii
  • Ringaufoo = chunga upole
  • Wariaeli = pokea hii
  • Terewaeli = omba hii
  • Aranyandumi = msikilize bwana
  • Shilelandumi = bwana nilee
  • Endwasen = aletwe nuruni
  • Furahanaeli = furahia hii
  • Akiraeli = okoa hii
  • Furandumi = furahua bwana
  • Shisaria = nisamehe
  • Shimarisaeli = nimemaliza hili
  • Winyaeli = sumbukia hili
  • Alesanjo = ameoshwa
  • Ekyandumi = msaidie bwana
  • Elishifwaya = nisamehe hii.
  • Arakyasaa = ngoja ahadi
  • Akaufoo= huu ndio upole
  • Shisandumi = bwana nichunge
  • Furanaeli = furahia
 
Haya majina si ya kiarabu haya yanahusianaje na uchagga?
 
Haya majina si ya kiarabu haya yanahusianaje na uchagga?

alilenga kuonyesha maana ya hayo majina....sio hayo ya kiarabu tu , yapo majina mengini hata ya kikristo na kiswahili huwezi kumwita mtoto wako kama unajua maana yake...ndio yale yake ya kumwita mtoto Tabu, Masumbuko, Sikujua....
 
Choices za majina itaendelea kuwa ni utashi binafsi, mawazo na chaguzi za majina si kitu kilichofungwa ndani ya box.
 
alilenga kuonyesha maana ya hayo majina....sio hayo ya kiarabu tu , yapo majina mengini hata ya kikristo na kiswahili huwezi kumwita mtoto wako kama unajua maana yake...ndio yale yake ya kumwita mtoto Tabu, Masumbuko, Sikujua....
Kweli kabisa, Sikudhani, majuto, Komba, Kinguruwe, Mboro, Kunguru.
 
Inabidi wazee wasisitize sana,tuwapunguze kina Junior na Ian
 
Haya majina si ya kiarabu haya yanahusianaje na uchagga?
WAMESHAURIWA KUACHANA NA HAYO MAJINA YA WATU AMBAO KILA SIKU NDIO WANASEMA WAMEFANYA BABU ZAO KUWA WATUMWA, YANASIFIA UARABU NA UZUNGU HASA URUMI NA KUACHA MAJINA YENYE MANA YA KIBANTU.
 
ni ushauri tu sio lzm kila mtu auchukue lakini kumbuka mtu hufanana na jina lake!!
So mtoto nikimuita White au Brown atafanana na jina?
Nakubaliana na wewe kwamba ni ushauri hivyo kuukubali au kutokubali ni hiyari ya mtu.
 
Mbona maeneo mengi kwenye tafsiri umeenda Chaka?
Kukusaidia Neno Eli linamaana ya Mola/Mungu
 
Kiwatengu, tafsiri yako ni kipare na watu wa marangu , nimeweka tafsiri ya Machame, najua wewee ni Elipokea.
Sahihi kabisa, Kimarangu mtu akiitwa Elibariki inamaanisha Mungubariki.

Elisante - Mungu asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…