Majina ya Kihaya na maana zake

Majina ya Kihaya na maana zake

That's pretty cool, the pumpkin in the old homestead shall not be uprooted
emoji137.png
emoji137.png
emoji137.png

Huku kwetu Cuba
Lugano=upendo,Gwakisa=mwenyewe huruma,Lusekelo=Furaha,Ndimyake=Niko kwake,Gwamaka= Mwenye nguvu, Atupele= Ametupa,Ambwene=Ameniona, Atuganile=Anatupenda,na ukiona mnyakyusa anaitwa mwakyusa,jua ni mtoto wa kiume wa mama anayeitwa kyusa, where by mwa= son of, mwakyusa means son of kyusa, Mwakalukwa means son of kalukwa, that is NOMENCLATURE YA KINYAKYUSA!
LET US go back to the roots.
Asante sana. Mimi ni Mhaya ile nimefurahia kujua maana ya majina ya Kinyaki na nomenclature yenu. Kuna dada mkorofi alikuwa anaitwa Lingasiku. Je maana yake ni nini?
 
Kumbe rugemalila lina maana sahihi
Yule Mzee kuna wakati alitaka kwenda front mwenyewe bila mawakili wake.

Ila yule mzee ni shule kubwa sana kwa hustlers, you must protect mafanikio yako na always amini muda.
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
uKABILA NI NINI?
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Jielimishe kidogo. Kuna ukabila gani hapo?
Mimi si Mhaya, lakini nimeifurahia taarifa hii kwani inanifanya niwafahamu Wahaya, ambao ni ndugu zangu (Watanzania).

Hata wewe tutajie majina ya kikwenu na maana zake, tutafurahi kuyajua.
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Mutayoba ?
 
Back
Top Bottom