Majina ya Kihaya na maana zake

Majina ya Kihaya na maana zake

Kuna dogo alizaliwa mtaani huku sasa bimkubwa wake alijifungulia home tu fasta hata kabla hawajampeleka hospitali dogo wanamuita Kairuki wakasema maana yake aliezaliwa haraka. Wajuzi mtusaidie
 
Kuna dogo alizaliwa mtaani huku sasa bimkubwa wake alijifungulia home tu fasta hata kabla hawajampeleka hospitali dogo wanamuita Kairuki wakasema maana yake aliezaliwa haraka. Wajuzi mtusaidie
Yeah sahihi kabisa😁😁 kambio kakimbiaji
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Chai
 
NAMBA 1 NA NAMBA 21,zimeneendana vzr sn kwa muhusika
 
That's pretty cool, the pumpkin in the old homestead shall not be uprooted [emoji137][emoji137][emoji137]
Huku kwetu Cuba
Lugano=upendo,Gwakisa=mwenyewe huruma,Lusekelo=Furaha,Ndimyake=Niko kwake,Gwamaka= Mwenye nguvu, Atupele= Ametupa,Ambwene=Ameniona, Atuganile=Anatupenda,na ukiona mnyakyusa anaitwa mwakyusa,jua ni mtoto wa kiume wa mama anayeitwa kyusa, where by mwa= son of, mwakyusa means son of kyusa, Mwakalukwa means son of kalukwa, that is NOMENCLATURE YA KINYAKYUSA!
LET US go back to the roots.
Momumo!
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Wew na waliolike mko brainwashed....sasa mtu kutaja majina ya kabila lake inakuaje ukabila...

Yaan unakataa jina la asili yako na kufurahia majina ya kizungu ambayo hata hujui maana yake...ili uondoe ukabila?[emoji28]
 
Kuna dogo alizaliwa mtaani huku sasa bimkubwa wake alijifungulia home tu fasta hata kabla hawajampeleka hospitali dogo wanamuita Kairuki wakasema maana yake aliezaliwa haraka. Wajuzi mtusaidie
Atafanikiwa kama ukoo wa kairuki unaomiliki mahospitali, vyuo, viwanda nk
 
Back
Top Bottom