Majina ya Kihaya na maana zake

Asante sana. Mimi ni Mhaya ile nimefurahia kujua maana ya majina ya Kinyaki na nomenclature yenu. Kuna dada mkorofi alikuwa anaitwa Lingasiku. Je maana yake ni nini?
 
Kumbe rugemalila lina maana sahihi
Yule Mzee kuna wakati alitaka kwenda front mwenyewe bila mawakili wake.

Ila yule mzee ni shule kubwa sana kwa hustlers, you must protect mafanikio yako na always amini muda.
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
uKABILA NI NINI?
 
Jielimishe kidogo. Kuna ukabila gani hapo?
Mimi si Mhaya, lakini nimeifurahia taarifa hii kwani inanifanya niwafahamu Wahaya, ambao ni ndugu zangu (Watanzania).

Hata wewe tutajie majina ya kikwenu na maana zake, tutafurahi kuyajua.
 
Mutayoba ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…