Majina ya Kihaya na maana zake

Majina ya Kihaya na maana zake

Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Watz mnajifanya mnaogopa ukabila, ila mkiwa nje ya nchi mnakimbia kama hamjuani, wakati huo huo wakikuyu na wajaluo wa kenya wakiwa nje wanakuwa very close. Nyinyi na uswahili wenu mna shida gani ?
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Kiasi naona we ndiyo hujielewi

Hatuwezi kukana asili yetu. Waache watani watuelimishe tusioyajua kuhusu wahaya na Kagera
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno[emoji120]
wakola muno waitu tulinde abanyamaanga baije batujume bangi batutamwa muno
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
hata wewe weka majina ya kabila lako na maana yake tujua au huna kabila?
 
Uzi mzuri kwa wale wanao penda majina kama Daniel, John, Abubakar, Jabir

Na kuona majina ya asili yao sio chochote sio lolote na hayana maana

Wana sahau hata huko kuna majina ya ajabu

Kama
Wolf
Nuehaus (kijerumani ni sirname ikiwa na maana nyumba mpya)

Majina ya hivi yapo Kila pande ya Dunia

Tuna Mkataa cha Usiku na kumkubari cha night
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Je Rugayamuheto?
 
Nilipokuwa 822kj , op miaka 50 ya jwtz tulikuwa na moja hiyo inaitwa " kokubanza " sijaiona hapo
 
Napenda majina ya kikabila hasa yenye maana ya ki Mungu
Yongeza ni kama ifuatavyo kwa wahaya
Asimwe-ashukuriwe Mungu
Alinda-Mungu anatulinda
Ajuna-mwokozi
Asingile-Ameshinda/ni mshindi
Amanya-Anajua
Atwine-Mungu yuko nasi
Mulokozi-Mwokozi
Atugonza-anatupenda
Mubezi-Mpaji/msaada
Kemilembe-penye amani
Mugisha-baraka
Mujuni-mwokozi/mkombozi
Katushabe-tumuombe Mungu
 
Hii inatusaidia nini zaidi ya kueneza ukabila mwanangu? Kesho tutaletewa ya kisukuma, kikurya na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je, kwa taifa liliozika ukabila miaka ile inatusaidia nini? Hii ingefaa upeleke Kenya lakini si Tanzania.
Soma kichwa cha habari
 
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
...... imetayarishwa na Hemedyjrjunior a.k.a (kimodoMsafi) TUKUTANE kwa darasa lijalo
Mwakora Mno🙏
Mpinzire manaake nn?
 
Back
Top Bottom