Majina ya maeneo Zanzibar yanavyoacha watu midomo wazi

Majina ya maeneo Zanzibar yanavyoacha watu midomo wazi

Anotaka kuja kutembea Zanzibar jamani tuwasiliane
Njoo utembee nami utembee, ufurahi na kujenga urafiki mwema

Zanzibar ni njema atakae aje
 
Jambiani.hapo zamani wazanzibar walipokuwa wanabebeshwa vitu vizito na waarabu wakati wa biashara ya utumwa waliishia kujamba na kuzaa jina linaloitwa jambiani
 
Njooni mtembee Zanzibar mujue historia ya kweli
 
Back
Top Bottom