Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Kwakweli inashangaza sana
Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar
Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba watu wataona majina yao mtandaoni lakini hali imekua tofauti na tulivyotarajia
Sasa kwa hali hii kulikua na haja gani kutumia mfumo wa online, si bora tu wangesema pelekeni maombi yenu kwa watendaji.
Kwa hali hii kuna hatari waombaji wengi watashindwa kuhudhuria usaili kwa kutokujua kama wamekua shortlisted kwaajiri ya interview mana unasaka majina ya wilaya yako lakini huyaoni unaishia kusikia tu ya mikoa mingine