Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikoa yote kiongozi ? Kabla sijaharibu mb naomba jibuMzigo wote huu hapa mzee usipate tabu.
Ndio Nchi mzima.Mikoa yote kiongozi ? Kabla sijaharibu mb naomba jibu
Fanya assist ya ilala kama unayoMzigo wote huu hapa mzee usipate tabu.
Hee mbona sijajioaNdio Nchi mzima.
Fake hayo mimi jina langu nilishaliona na hapo halipoMzigo wote huu hapa mzee usipate tabu.
Sidhani kama ndio yenyeweHee mbona sijajioa
Wasng wamenifanyia undava hawa
Hee mbona sijajioa
Wasng wamenifanyia undava hawa
Majina feki hayoHee mbona sijajioa
Wasng wamenifanyia undava hawa
Original yako wapiMajina feki hayo
Prolly uko sahihi kwasababu Yanga mna share same color na chama tawalaMashabiki wa Simba SC sio wananchi halali wa Tanzania.
Pole mtani. [emoji23][emoji23]
Mbona haifunguki kwa wpsMzigo wote huu hapa mzee usipate tabu.
Hii link haifunguki we jamaa
Ninayo majina ya ubungo sijui shida itakuwa ni nini sasaHii link haifunguki we jamaa
Na kwa ubungo usaili ni kesho trh 19Ninayo majina ya ubungo sijui shida itakuwa ni nini sasa