Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
 
Sema huu uzi tufanye wa wilaya za dar i.e ubongo,ilala,temeke,kigamboni,kisalawe, kinondon n.k wenye mikeka watume humu jaman
 
Ninayo majina ya ubungo sijui shida itakuwa ni nini sasa
Na kwa ubungo usaili ni kesho trh 19
Screenshot_20220718-214520.jpg
 
Back
Top Bottom