Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Huo ni muujiza maalum.kama ule wa waisrael na wayahudi kuvuka bahari huku maji yakiwa yameachana.
Ni miujiza ambayo uwa haijirudii .ila akipenda mwenyewe.hilo tukio la ng'ombe limeshapita
Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
 
Mtume alikuwa pangoni mwenyewe na alivyokabwa na kuambiwa asome .

kwanza alimfuata mbibi Khadija.
Na Mtume wenyewe alisema nifunieni nifunike nahisi nimepatwa na kitu kibaya.

Hakuna malaika anaweka kukufuata akupe neno alafu akukabe wakat anajua kabisa ww huwez kusoma.

Alafu cha pili.
Bi khadija akasema Mungu hawez kukufanyia hivyo,.
Sasaa ni Mungu gan anamuongelea hapa wakat hata allah hajajidhihirisha kwao?😎😎😎.

Na cha tatu. Yule mshirikina Warag Nawfar akamwambia ni makaika kama aliyemtokea Mussa ndio kakutokea.

Na wahyi haukushuka tena had huyu mchawi na bi khadija kufa. Ndio akawasingizia kuwa hao walikuwa mashahidi wake.
Wakat hakuna mtu aliona au kusikia wahyi ukishuka kwa mtume.

Ni ujanja wa Mohamed tu.
Wapi kwenye Quran pameandikwa mtume alikutana na majini,wapi kwenye Quran pameandikwa mtume alikabwa akiambiwa soma?
Acha blah blah
 
Kiarabu kunatofauti gani kati ya Shetwain na Jinn

Kiarabu kunatofauti gani kati ya Shetwain na Jinn
Ushetani ni sifa,wewe ukimshawishi mtu kumuasi Mungu basi wewe unakua shetani,jinni akimshawishi jinni mwenzie au binadam kumuasi Mungu,huyo jinni anakua shetani
Ibilisi ambaye ni jinni aliwashawishi Adam na hawa kumuasi Mungu,hivyo ibilisi akapata sifa ya ushetani
Jinni ni specie kama binadam, ng'ombe,twiga nk,ni kiumbe kimeumbwa na Mungu kama binadam na malaika nk

وَإِذَا لَقُوا الَّذِينَ آمَنُوا قَالُوا آمَنَّا وَإِذَا خَلَوْا إِلَىٰ شَيَاطِينِهِمْ قَالُوا إِنَّا مَعَكُمْ إِنَّمَا نَحْنُ مُسْتَهْزِئُونَ
Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet´ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.(2:14)
Ninekuwekea aya ya Quran inayobainisha ushetani hata binadam anaweza kuupata
 
Tofauti kati ya shetani na ibrisi.
 
Wapi kwenye Quran pameandikwa mtume alikutana na majini,wapi kwenye Quran pameandikwa mtume alikabwa akiambiwa soma?
Acha blah blah
Usipaniki bro.

Hadithi namba 3 katika Sahih al-Bukhari inaelezea jinsi alivyokabwa mara tatu na kuambiwa asome.
Hadi akaweza 😂😂😂

Kumbe mtu ambaye hajui kusoma akikabwa unaweza kusoma.
 
Usipaniki bro.

Hadithi namba 3 katika Sahih al-Bukhari inaelezea jinsi alivyokabwa mara tatu na kuambiwa asome.
Hadi akaweza 😂😂😂

Kumbe mtu ambaye hajui kusoma akikabwa unaweza kusoma.
Muhammad hakujua kusoma katika maisha,aliminywa akajua kusoma kitu gani?
 
Kwa hiyo atakusanya ng'ombe wa kutosha na kuwachinja na kuweka vipande vya kutosha ili kuwapiga navyo mfufuke?
Kwanza hii sura ya ngombe ndio ina aya ndefu kuliko sura zote ndan ya Quran.

na inaongelea hasa hasa story na visa vya nabii Mussa na wana wa Israel.

Eti na yenyewe jibril kaishusha 😂😂😂😂. Miaka 2500 baada ya Ban israel kutoka Misri.
Kwamba eti zile story za ban Israel sio za kweli.

Ila hizi alizoshushiwa Muarabu Mohamed miaka 600 baada ya Kristo ndio za kweli 😂😂😂😂.
Na tuamini hizi na tuziache zile story za wenyewe kabisa wa Israel. Kuwa Eti Zimepotoshwa.

Dah Anayeamini Quran kuna namna hajui kupambanua mambo.
 
Hata wewe utapigwa navyo maana ni kiumbe wake

Sasa sijui tuamini Biblia au Quran.

Kwenye Biblia . Mussa alichinjwa ngombe kama njia ya utakaso na kuondoa laana na hatia juu ya nchi.

Kwenye Quran, Mussa amechinja ngombe na nyama yake ikampiga Maiti. Maiti ikafufuka na ikamtaja muuaji alafu ile maiti ikafa tena.

😎😎😎😎

Kuna visa vingi, hata 20+ zinafika. Ambavyo Biblia imeandika hivi na Quran ikaandika vingine. Wahusika ni wale wale. Visa vile vile ila huyu kaandika tofaut na mwingne.

Ila sasa Quran imeandikwa miaka 2500 baada ya visa kutokea.

Waheshimiwa majaji.
sina hoja nyingne kwenye haya.
Nimewaachia Mfanye maamuzi kujua Sehem ipi inadanganya.
 
Sasa sijui tuamini Biblia au Quran.

Kwenye Biblia . Mussa alichinjwa ngombe kama njia ya utakaso na kuondoa laana na hatia juu ya nchi.

Kwenye Quran, Mussa amechinja ngombe na nyama yake ikampiga Maiti. Maiti ikafufuka na ikamtaja muuaji alafu ile maiti ikafa tena.

😎😎😎😎
Ila hii story ya Quran imeandikwa miaka 2500 baada ya kisa kutokea.

Waheshimiwa majaji.
sina hoja nyingne kwenye hili.
Ila wote si wanamzungumzia Musa na wayahudi?
Kwamba hilo tukio lilitokea.?
 
Back
Top Bottom