Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Ila wote si wanamzungumzia Musa na wayahudi?
Kwamba hilo tukio lilitokea.?
Wote wanazungumzia Mussa na wayahudi.
Wote wanaongelea ngombe.
namna sifa ya huyo ngombe alivyoelezewa kwenye biblia na quran ni sawa.

Tofaut ni kuwa wa kwenye Biblia ni mwekundu na Quran ni wanjano.

Wa Biblia alichinjwa kama alama ya utakaso na kuondoa laana kwenye ardhi na wa Quran alichinjwa na nyama yake ikampiga maiti. Maiti ikafufuka na kumtaja muuaji. Kisa ikafa tena.

Kwahiyo. Tukio la kwenye Quran haliko kwenye Biblia na kwenye Biblia haliko kwa Quran.
 
shida biblia ina marekebisho mengi.
Na waandishi wenyewe walikuwa wanasimuliwa tu wakakusanya wakaandika.ila mtume Muhammad alikuwa anapewa taarifa hizo za mambo yaliyotokea zamani kutoka Kwa mungu kupitia Kwa malaika JIBRIL
 
Ona basi aibu mwanetu.

Hata mm au ww au yule anaweza akalala. Akaamka na kusema nimeoteshwa na nimeambiwa na Mungu kuwa kile kisa cha miaka 2,500 nyuma mnachosikia kuwa kiko hivi . hakikuwa vile.
Kilikuwa hivi na hivi ninavyowaambia mm. Maana Mungu kaniotesha.

Na niamini. Kuna wajinga watakuamini.

Na hivyo ndio Quran ilivyo.

Hauwez kubadili visa karibia vyote vya kitabu kilichokutangulia na ukasema kitabu chako ndio kina ukweli.

Hauwez ukahadithia story za mitume wa nyuma na ukasema wote wa nyuma sio wa kweli ila ww ndio mkweli.
(Mitume kwenye quran wako 24,.
Mitume 19 ni waisrael. Watatu sio waarabu na mmoja ndio Mohamed).

Na story zao ukazipindisha.
Kisa cha Nuhu kimeandikwa tofaut kabisa kwenye Quran. Nk nk

Alafu ukasema ww ndio unasema Ukweli kwasababu ni Jibril amekuotesha.
Tena kwa kipind cha miaka 23.

Ni mashaka sana kuiamin Quran.
 
Muhammad ndo kaja kusahihisha upotoshaji wote wa wakristo na wayahudi katika vitabu vyao.
Wayahudi wanamkataa Muhammad sababu hakutoka kwao.
Ila wanashangaa kuona matukio yaliyotokea kipindi Cha wazee wao yamesimuliwa na mtu ambaye hajui kusoma Wala kuandika tena Kwa lugha nyingine.
 
Nadhan unajua zaman watu walikuwa wanasambaza visa kwa njia ya mdomo kwa kuhadithiana .vizazi na vizazi.

Hizi story sio kwamba hazikuwepo.

Nawaf bin Naftar alikuwa ni mkristo.
Na ndio alimwambia Mohamed huyo aliyekutokea Pangoni ni yule Malaika aliyemtokea pia Mussa.

Hii ina dhihirisha kuwa story zilikuwepo na Mohamed hata kama hakujua kusoma. Alikuwa anazisikia vizur tu.

By the way. Kwenye miaka 23 ya utume wa Mohamed.
Miaka 20 alikuwa anaswali kuelekea Yerusalemu.
Sehem ambayo hata hajawah kufika.
Aliamua hivyo kwa sababu alikuwa amecopy visa vya dini ya Kikristo.
Au na yenyewe aliambiwa na Jibril?.

Lakin gafla. Alivyoikomboa Al kaaba. Akasema ameshushiwa wahyi kuwa waswal kuelekeza al kaaba 😂😂😂😂 sehem ambayo wapagan walikuwa wanaabudu miungu yao 360
 
Al- Kitimoto. sura ya nguruwe
Ustadhi . Kula kitimoto kama kukiwa na Dharura sio dhambi .

Quran - Surat Al-Baqarah (2:173).
"Hakika Yeye amekuharamishieni mzoga na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajwa jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu katika kuchinjwa kwake. Lakini aliyefikwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, basi yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
 
Nadhan unajua zaman watu walikuwa wanasambaza visa kwa njia ya mdomo kwa kuhadithiana .vizazi na vizazi.

Hizi story sio kwamba hazikuwepo.

Nawaf bin Naftar alikuwa ni mkristo.
Na ndio alimwambia Mohamed huyo aliyekutokea Pangoni ni yule Malaika aliyemtokea pia Mussa.

Hii ina dhihirisha kuwa story zilikuwepo na Mohamed hata kama hakujua kusoma. Alikuwa anazisikia vizur tu.

By the way. Kwenye miaka 23 ya utume wa Mohamed.
Miaka 20 alikuwa anaswali kuelekea Yerusalemu.
Sehem ambayo hata hajawah kufika.
Aliamua hivyo kwa sababu alikuwa amecopy visa vya dini ya Kikristo.
Au na yenyewe aliambiwa na Jibril?.

Lakin gafla. Alivyoikomboa Al kaaba. Akasema ameshushiwa wahyi kuwa waswal kuelekeza al kaaba 😂😂😂😂 sehem ambayo wapagan walikuwa wanaabudu miungu yao 360
Muhammad alimjuaje ALLAH?
 
Muhammad alijuaje kuwa mungu ndo aliyeumba binadamu?
Tena Kwa pande la damu?
 
Attachments

  • Screenshot_20261010-104534.png
    Screenshot_20261010-104534.png
    96.2 KB · Views: 5
Muhammad alimjuaje ALLAH?
Ni sawa na kusema Mababu zetu wamejuaje kuwa kuna Mungu au Miungu.

Duniani kuna dini kuu 7.
Na zote zina Mungu au Miungu.
Kwahiyo unahoji na wao wamejuaje?.

Muhammad alijuaje kuwa mungu ndo aliyeumba binadamu?
Tena Kwa pande la damu?

Hii nayo sio ya kuhoji.

Hii ni namna ya kuzaliana , bayo hata wanyama wadudu wanafanya.
Kinachoanza ni pande la damu (cell ya kiumbe jike) na kikarutubiwa na Manii ya kiumbe dume.
 
Ni sawa na kusema Mababu zetu wamejuaje kuwa kuna Mungu au Miungu.

Duniani kuna dini kuu 7.
Na zote zina Mungu au Miungu.
Kwahiyo unahoji na wao wamejuaje?.

Hii nayo sio ya kuhoji.

Hii ni namna ya kuzaliana , bayo hata wanyama wadudu wanafanya.
Kinachoanza ni pande la damu (cell ya kiumbe jike) na kikarutubiwa na Manii ya kiumbe dume.
Sasa ndo nakuuliza mtume Muhammad alijuaje mambo hayo.
Kuna kitabu gani kinazungumzia kuumbwa Kwa binadamu kama kilivyofanya Quran?
 
Kilikuwepo kitabu cha mwanasayansi kimeelezea kama Muhammad alivyoelezea , ila badae ilikuja kugundulika kuna uongo ndani yake
 
Back
Top Bottom