Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Qur’ani ni ufunuo kutoka kwa Allah kwa wanadamu, na pia Qur’ani yenyewe inaonyesha kwamba majini waliweza kuusikia na kuuelewa ujumbe huo. Hilo halimaanishi kwamba Waislamu wanawaabudu majini.

Qur’ani inasema:

“Sema: Nimefunuliwa ya kwamba kundi la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumesikia Qur’ani yenye ajabu. Inahimiza kwenye uongofu, kwa hiyo tumeiamini...”
— Qur’ani 72:1–2.

Kwa hiyo jibu ni wazi: majini wanaweza kusikia Qur’ani na kuamini ujumbe wake. Lakini Qur’ani haifundishi Waislamu kuwaabudu au kuwaomba majini.

Na sasa hebu tuangalie Biblia yako mwenyewe.

Biblia yako pia inaonyesha kwamba viumbe wa rohoni wanaweza kusikia, kuelewa na kuitikia mambo yanayohusiana na Mungu.

Kwa mfano, Yesu alipokuwa akizungumza na pepo, pepo walijibu:

“Nini lililo kati yetu na wewe, Yesu, Mwana wa Mungu?”
— Mathayo 8:29.

Hawa walimsikia Yesu, walimtambua na wakajibu.

Na Yakobo 2:19 inasema:

“Mashetani nao waamini na kutetemeka.”

Hivyo Biblia yako yenyewe inakubali kwamba viumbe wa rohoni wanaweza kusikia na kutambua mambo yanayomhusu Mungu.

Kwa hiyo usifanye kosa la kimantiki la kusema:

“Majini kusikia Qur’ani ni sawa na Waislamu wanaabudu majini.”

Hayo ni mambo mawili tofauti kabisa.

Qur’ani inasema majini waliisikia Qur’ani na baadhi yao wakaamini. Hilo ni jambo moja. Kuabudu majini ni jambo jingine kabisa.

Na kwa Biblia yako pia, mashetani wanaweza kusikia na hata kuamini kwa namna fulani, lakini Wakristo hawasemi kwamba kwa sababu hiyo wanawaabudu.

Kwa hiyo hoja ya “majini nayo yameruhusiwa kujihusisha na Qur’ani?” haibadilishi chochote. Kusikia ufunuo si sawa na kuabudu chanzo cha ufunuo.

Tukitaka kujadili dini, tujenge hoja kwa maandiko,si kwa dhihaka dhidi ya Waislamu au majini.
Teacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.

Ila kwa imani yako unaamini majini yaliwahikuamini eti kwa sababu yalisikia Quran. Sisi tunasema hayo ni maongo na kipngozi wao ni baba wa uongo.

Kujua ni maongo hadi sasa haujatoa kauli ya kijasiri ya kuongea nayo, hujatoa ushuhuda kuwa uliwahi kukutana na jini safi mkapiga story au una rafiki wa kijini aliyesilimu ambaye huwa mnabadilishana uzoefu wa uislam. Hata wewe unayaogopa na kuyahofu kuwa ni vitu hatari
 
Uislam siudhihaki ninaupenda. Ila kwenye kuyahusisha majini na uislam hapo ndipo chanzo cha matatizo mengi katika Imani yenu.

Kwa mfano majini walikuwa mashetani kwa kugoma kumsujudia mwanadamu. Hii kauli ya kiumbe kuambiwa kimuabudu kiumbe na sio Allah alafu kipewe adhabu ya kuwa shetani huoni iko nje kabisa ya jinsi Mungu anavyofanya kazi.?
 
Kwanza, hoja yako ya kusema “hujaongea na jini, hujawahi kuwa na rafiki wa kijini, kwa hiyo ni uongo” si hoja ya kielimu. Ukweli wa jambo hauamuliwi na mimi binafsi kukutana nalo au kutokutana nalo. Vinginevyo hata wewe ungelazimika kuthibitisha kila kiumbe wa rohoni kwa kukutana nacho mwenyewe.

Pili, unasema Biblia haina majini, ina mashetani na malaika tu. Hapo pia unahitaji kuthibitisha kutoka kwenye Biblia yako kwamba kila kiumbe wa rohoni asiye malaika safi ni shetani na kwamba hakuna viumbe wengine wa rohoni. Biblia yenyewe haitoi orodha rahisi kama hiyo.

Kwa mfano, Biblia inasema:

“Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.”
— Waefeso 6:12

Kwa hiyo Biblia yenyewe inazungumza kuhusu viumbe vya rohoni kwa majina na makundi mbalimbali.

Tatu, unasema mashetani wote ni waongo na hawawezi kusema ukweli. Lakini Biblia yako yenyewe inasema mashetani wanajua na kutambua ukweli fulani kuhusu Yesu:

“Nini lililo kati yetu na wewe, Yesu, Mwana wa Mungu?”
— Mathayo 8:29

Na Yakobo 2:19 inasema:

“Mashetani nao waamini, na kutetemeka.”

Kwa hiyo Biblia yako yenyewe inakubali kwamba viumbe waovu wa rohoni wanaweza kujua, kusikia na kukiri jambo fulani la kweli. Hivyo kusema “kwa sababu ni viumbe wa rohoni basi kila wanachosema ni uongo” hakufuati moja kwa moja kutoka kwenye Biblia.

Nne, kuhusu Qur’ani 72:1–2, Qur’ani haisemi Waislamu waabudu majini. Inasema kundi la majini lilisikia Qur’ani, likaelewa ujumbe wake, na likasema limeuamini.

Hata kama wewe huamini taarifa hiyo, lazima uthibitishe kwa nini taarifa hiyo ni ya uongo, si kusema tu “huenda zinadanganya.”

Na kuna tofauti kubwa kati ya kusema:

“Majini walisikia Qur’ani na baadhi yao wakaamini”

na kusema:

“Waislamu wanawaabudu majini.”

Huwezi kubadilisha sentensi ya kwanza kuwa ya pili bila ushahidi.

Mwisho, suala la mimi kuwaogopa majini au kutokuwa na rafiki wa kijini halina uhusiano na hoja. Mimi sihitaji kukutana na jini ili kujadili kile ambacho Qur’ani inafundisha, kama vile wewe huhitaji kuwa na urafiki na malaika ili uamini malaika wapo.

Kwa hiyo kama una ushahidi wa Biblia unaosema “hakuna viumbe wa rohoni isipokuwa malaika na mashetani”, leta mstari huo.

Na kama unadai majini wote ni mashetani na wote wanadanganya, pia leta ushahidi wa Biblia unaosema hivyo.

Tusitumie hofu, dhihaka au uzoefu binafsi kama ushahidi. Tuweke maandiko mezani.
 
Uislam siudhihaki ninaupenda. Ila kwenye kuyahusisha majini na uislam hapo ndipo chanzo cha matatizo mengi katika Imani yenu.

Kwa mfano majini walikuwa mashetani kwa kugoma kumsujudia mwanadamu. Hii kauli ya kiumbe kuambiwa kimuabudu kiumbe na sio Allah alafu kipewe adhabu ya kuwa shetani huoni iko nje kabisa ya jinsi Mungu anavyofanya kazi.?

Umesema unaupenda Uislamu lakini tatizo lako ni “kuwahusisha majini na Uislamu.” Hapo ndipo tatizo la hoja yako lilipo: umeanza kwa kudai jambo ambalo Qur’ani yenyewe haisemi.

Kwanza, Qur’ani haisemi kwamba Allah aliwaambia viumbe “mwabuduni Adam.” Ilisema msujudieni Adam kama amri maalumu ya kumheshimu Adam na kumtii Allah. Iblis hakukataa kwa sababu ya kulinda ibada ya Allah; alikataa amri ya Allah kwa kiburi.

Qur’ani inasema:

“Na tulipowaambia Malaika: Msujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikuwa miongoni mwa majini, akafanya uasi dhidi ya amri ya Mola wake.”
— Qur’ani 18:50
Hii ni muhimu sana: Iblis alijua kabisa kwamba amri hiyo imetoka kwa Allah, lakini akasema:

“Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, na umemuumba kwa udongo.”
— Qur’ani 7:12

Kwa hiyo kosa lake halikuwa kusema, “Siwezi kumuabudu Adam kwa sababu namwabudu Allah.”
Kosa lake lilikuwa kiburi na kutotii amri ya Allah.

Pili, wewe unasema: “Kiumbe kuambiwa kimuabudu kiumbe mwingine kiko nje ya jinsi Mungu anavyofanya kazi.”

Hilo ni tatizo katika hoja yako kwa sababu umebadilisha neno “kusujudu” kuwa “kuabudu.”

Kama unataka kuthibitisha kwamba amri ya Allah ilikuwa “mwabuduni Adam,” leta aya hiyo. Hutapata. Qur’ani inasema “msujudieni Adam,” si “mwabuduni Adam.”

Na Biblia yako yenyewe ina mifano ya watu kusujudu mbele ya wanadamu bila kuwaabudu kama Mungu.

Kwa mfano:

“Daudi akainama uso wake hata nchi, akamsujudia Sauli.”
— 1 Samweli 24:8

Je, Daudi alikuwa akimwabudu Sauli kama Mungu?

Hapana.

Kwa hiyo kusujudu hakumaanishi moja kwa moja kuabudu. Maana yake inategemea mazingira na amri iliyotolewa.

Tatu, unasema Iblis “alipewa adhabu ya kuwa shetani.” Hapana. Hata hapa umechanganya mambo.

Iblis hakulazimishwa kuwa mwovu. Alifanya uchaguzi wa kutotii kwa kiburi, akakataa amri ya Allah, akadai yeye ni bora kuliko Adam, kisha akaomba muda wa kuwapotosha wanadamu.

Kwa hiyo Qur’ani inampa Iblis jukumu lake wazi: uasi, kiburi na kuwapotosha wanadamu.

Na jambo la mwisho: ukitaka kupinga Uislamu, pinga kile Qur’ani inachosema, si kile unachodhani Qur’ani inasema.

Usiseme:

“Allah aliwaambia waabudu Adam.”

Halafu unapambana na hoja ambayo Qur’ani haijasema.

Leta aya inayosema “mwabuduni Adam.” Ikiwa huwezi kuileta, basi hoja hiyo imeanguka kabla hata hatujaanza mjadala.

Na kuhusu majini, Qur’ani 72:1–2 inasema baadhi ya majini walisikia Qur’ani, wakaelewa ujumbe wake na wakaamini. Huwezi kugeuza hilo kuwa “Waislamu wanaabudu majini” bila ushahidi.

Kwa hiyo kama tunataka mjadala wa kweli, weka Qur’ani na Biblia mezani, acha dhana na dhihaka, halafu tuone maandiko yanasemaje.
 
Umesema unaupenda Uislamu lakini tatizo lako ni “kuwahusisha majini na Uislamu.” Hapo ndipo tatizo la hoja yako lilipo: umeanza kwa kudai jambo ambalo Qur’ani yenyewe haisemi.

Kwanza, Qur’ani haisemi kwamba Allah aliwaambia viumbe “mwabuduni Adam.” Ilisema msujudieni Adam kama amri maalumu ya kumheshimu Adam na kumtii Allah. Iblis hakukataa kwa sababu ya kulinda ibada ya Allah; alikataa amri ya Allah kwa kiburi.

Qur’ani inasema:

Hii ni muhimu sana: Iblis alijua kabisa kwamba amri hiyo imetoka kwa Allah, lakini akasema:

Kwa hiyo kosa lake halikuwa kusema, “Siwezi kumuabudu Adam kwa sababu namwabudu Allah.”
Kosa lake lilikuwa kiburi na kutotii amri ya Allah.

Pili, wewe unasema: “Kiumbe kuambiwa kimuabudu kiumbe mwingine kiko nje ya jinsi Mungu anavyofanya kazi.”

Hilo ni tatizo katika hoja yako kwa sababu umebadilisha neno “kusujudu” kuwa “kuabudu.”

Kama unataka kuthibitisha kwamba amri ya Allah ilikuwa “mwabuduni Adam,” leta aya hiyo. Hutapata. Qur’ani inasema “msujudieni Adam,” si “mwabuduni Adam.”

Na Biblia yako yenyewe ina mifano ya watu kusujudu mbele ya wanadamu bila kuwaabudu kama Mungu.

Kwa mfano:

Je, Daudi alikuwa akimwabudu Sauli kama Mungu?

Hapana.

Kwa hiyo kusujudu hakumaanishi moja kwa moja kuabudu. Maana yake inategemea mazingira na amri iliyotolewa.

Tatu, unasema Iblis “alipewa adhabu ya kuwa shetani.” Hapana. Hata hapa umechanganya mambo.

Iblis hakulazimishwa kuwa mwovu. Alifanya uchaguzi wa kutotii kwa kiburi, akakataa amri ya Allah, akadai yeye ni bora kuliko Adam, kisha akaomba muda wa kuwapotosha wanadamu.

Kwa hiyo Qur’ani inampa Iblis jukumu lake wazi: uasi, kiburi na kuwapotosha wanadamu.

Na jambo la mwisho: ukitaka kupinga Uislamu, pinga kile Qur’ani inachosema, si kile unachodhani Qur’ani inasema.

Usiseme:

Halafu unapambana na hoja ambayo Qur’ani haijasema.

Leta aya inayosema “mwabuduni Adam.” Ikiwa huwezi kuileta, basi hoja hiyo imeanguka kabla hata hatujaanza mjadala.

Na kuhusu majini, Qur’ani 72:1–2 inasema baadhi ya majini walisikia Qur’ani, wakaelewa ujumbe wake na wakaamini. Huwezi kugeuza hilo kuwa “Waislamu wanaabudu majini” bila ushahidi.

Kwa hiyo kama tunataka mjadala wa kweli, weka Qur’ani na Biblia mezani, acha dhana na dhihaka, halafu tuone maandiko yanasemaje.
Waislam nawapenda kama binadamu wenzangu tu, ni watu ambao Mungu anawapenda pia.

Unaweza ukaweka dhihaka angalau mbili nilizokudhihaki ili tuendelee she he.
 
Sawa, kama hukunidhihaki, sina tatizo na hilo. Hoja yangu si kuhusu kama unawapenda Waislamu au la, bali ni kuhusu ushahidi wa hoja zako.

Ulisema Iblis alikataa “kumuabudu Adam.” Lakini Qur’ani haisemi “mwabuduni Adam”, inasema “msujudieni Adam.” Hayo si kitu kimoja.

Na Biblia yako yenyewe inasema Daudi alimsujudia Sauli (1 Samweli 24:8), lakini hakumwabudu Sauli kama Mungu.

Kwa hiyo, tubaki kwenye maandiko: lete aya inayosema “mwabuduni Adam.” Kama haipo, basi usibadilishe “kusujudu” kuwa “kuabudu.”
 
Allah alimwambia shetani amsujudie Adam. Kusujudu kitendo kama amri ya Mungu ni kitendo cha kiibada.
Daudi na Sauli hakukuwa na agizo la Mungu ni mambo yao binafsi.

Kwa nini Mungu kumwaambia Malaika wamsujudie Adam sio tendo lbada?. Unadhani ni Tendo la nini sherehe au maigizo?

Kwenye Biblia Pote Malaika waliposujudiwa na Wanadamu walikataa maana sio stahili yao.
 
Kitu sura ya Ng'ombe
Surah ya ng'ombe ilikuja baada ya Allah kujitapa uwa anafufua kwa kutumia beef 🍖 Yani siku ya mwisho Allah atakupiga mbaya kabisa na kipande Cha nyama ya ng'ombe beef 🍖 ili ufufuke

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
 
Yesu alivyotoa mapepo ambao ni majini waovu aliwaonesha?
Surah ya ng'ombe ilikuja baada ya Allah kujitapa uwa anafufua kwa kutumia beef 🍖 Yani siku ya mwisho Allah atakupiga mbaya kabisa na kipande Cha nyama ya ng'ombe beef 🍖 ili ufufuke

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
 
Allah anaswali kwa mungu wa mashariki na magharibi:
Kumwombea Muhamadi

Allah anawawekea jiwe Jeusi mlisujudie:
Naskia hata mnapojenga vyoo mnatakiwa mnapokunya msiangalie upande wenye jiwe Jeusi Maka:
Mnaangalia Magharibi
hii ni zaidi ya vituko
Ukiangalia Magharibi swalat yako haiswihi
huo ni utumwa na sio Dini
70:40 -
"Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza"

Allah huyo anaapa kwa mola wake
Alafu Umesahau ile eti majini yanakaa Chooni.

Kwahiyo unatakiwa kabla ya kuingia usome dua 😂😂😂😂.

Uduanzi tu
 
Teacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.

Ila kwa imani yako unaamini majini yaliwahikuamini eti kwa sababu yalisikia Quran. Sisi tunasema hayo ni maongo na kipngozi wao ni baba wa uongo.

Kujua ni maongo hadi sasa haujatoa kauli ya kijasiri ya kuongea nayo, hujatoa ushuhuda kuwa uliwahi kukutana na jini safi mkapiga story au una rafiki wa kijini aliyesilimu ambaye huwa mnabadilishana uzoefu wa uislam. Hata wewe unayaogopa na kuyahofu kuwa ni vitu hatari
Sidhan kama Jagina anayaogopa.

maana yeye ana mapepo.
Na ni Sunna muislam kuwa na majini.

Hivi ushasikia jini ana jina la kikristo?.
 
Huwa najiuliza Majini walisomewa nn hadi wakajua ni neno la allah? . Wakat kipind hiko quran haikuwa kwenye mfumo wa kitabu?.

Mohamed hakuwa mchawi, je aliwezaje kukutana na majini weng kwa wakati mmoja?. Kwenye vikao vya majini au?.

Majini haya bila shaka ni ya kiarabu. (Ofcoz maana walimuelewa Mohamed).
sidhan kama mizimu ya Babu zetu walihudhuria.

Kama wanahudhuria Misikitini , je wana misikiti yao au na wao leo tutabanana nao kwenye swala ya ijumaa?.
Wapi pameandikwa Muhammad alikutana na majini?
 
Quran inaturudisha kwenye biblia kama kuna sehemu huelewi pia.

Sura ya Yunus 10:94
"Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka." [1]

Fafanuzi baadhi zinasema hao ji Manasara ( au thenashara au wafuasi wa Yesuau wakristo) na Wayahudi.

Na sisi iko wazi
Hakuna majini bali ni Malaika wasafi wa Mungu na Malaika wachafu wa shetwain ambao ndio majini,mapepo, mashetani.

Ndio maana kumtetea jini msafi kidini ni kazi ngumu sana ambayo hata shetani mwenyewe hawezi. Maelezo ya Surat jin ni mazuri ila yanaacha maswali mengi ambayo hakuna wa kuyajibu bila kuacha shaka.
Shetani hana malaika,kwanza shetani siyo kiumbe(specie) rasmi,ni sifa,hata wewe unaweza kuwa shetani
 
Teacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.

Ila kwa imani yako unaamini majini yaliwahikuamini eti kwa sababu yalisikia Quran. Sisi tunasema hayo ni maongo na kipngozi wao ni baba wa uongo.

Kujua ni maongo hadi sasa haujatoa kauli ya kijasiri ya kuongea nayo, hujatoa ushuhuda kuwa uliwahi kukutana na jini safi mkapiga story au una rafiki wa kijini aliyesilimu ambaye huwa mnabadilishana uzoefu wa uislam. Hata wewe unayaogopa na kuyahofu kuwa ni vitu hatari
Yesu hakutoa majini kwa mtu na kuyafukuzia kwa nguruwe,unasemaje hakuna mahini
 
Surah ya ng'ombe ilikuja baada ya Allah kujitapa uwa anafufua kwa kutumia beef 🍖 Yani siku ya mwisho Allah atakupiga mbaya kabisa na kipande Cha nyama ya ng'ombe beef 🍖 ili ufufuke

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
🤣🤣🤣Hakuna kitu kama hicho.hilo tukio lilitokea Kwa Wana wa Israel tu.kuonesha uwezo wake na uwepo wake
 
Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
Huo ni muujiza maalum.kama ule wa waisrael na wayahudi kuvuka bahari huku maji yakiwa yameachana.
Ni miujiza ambayo uwa haijirudii .ila akipenda mwenyewe.hilo tukio la ng'ombe limeshapita
 
Wapi pameandikwa Muhammad alikutana na majini?

Mtume alikuwa pangoni mwenyewe na alivyokabwa na kuambiwa asome .

kwanza alimfuata mbibi Khadija.
Na Mtume wenyewe alisema nifunieni nifunike nahisi nimepatwa na kitu kibaya.

Hakuna malaika anaweka kukufuata akupe neno alafu akukabe wakat anajua kabisa ww huwez kusoma.

Alafu cha pili.
Bi khadija akasema Mungu hawez kukufanyia hivyo,.
Sasaa ni Mungu gan anamuongelea hapa wakat hata allah hajajidhihirisha kwao?😎😎😎.

Na cha tatu. Yule mshirikina Warag Nawfar akamwambia ni makaika kama aliyemtokea Mussa ndio kakutokea.

Na wahyi haukushuka tena had huyu mchawi na bi khadija kufa. Ndio akawasingizia kuwa hao walikuwa mashahidi wake.
Wakat hakuna mtu aliona au kusikia wahyi ukishuka kwa mtume.

Ni ujanja wa Mohamed tu.
 
Back
Top Bottom