mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Wao katika majini wapo waislam Wana silimishana wao Kwa wao ila hata Mimi naweza kumsilimisha jini ambaye amemuingia mtu akapandishaWewe unaweza kusilimisha jini?
Mfano haya yaliyozaliwa kipindi chako baada ya mtume?
Utajuaje kama limesilimu kweli au limedanganya?