Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Majina ya sura zote 114 za Quran Tukufu kwa Kiswahili

Mtume Muhammad alikutana na kundi la majini baada ya kutoka katika mji wa Taif kuwahubiria watu juu ya Uislam. Walimkataa na hats kumfukuza kwa kumtupia mawe...

Njiani wakati anarudi ndio akakutana na kundi la majini wa kiyahudi waliokuwa wakifuata Taurat ya Nabii Mussa (a.s) wakitokea katika ardhi ya Nasbin ambao ni mji uliopo mpakani baina ya nchi ya Uturuki na Syria .

Waliketi wakawa wanasikiliza jinsi Mtume Muhammad (pbuh) alipokuws akiisoma Quran kwa ufasaha. Wakagundua kuwa inasafikisha yale yaliyokuwemo kwenye kitabu cha Taurat...ndipo wakaiamini na kumuamini Mtume Muhammad (s.a.w) ...kisha wakarudi kwenye jamii zao kwenda kuwalingania wasilimu kwa kumfuata na kumuamini Mtume Muhammad (s.a.w).

Unaweza kuisoma historia hii katika Sura al jinn na Sura al Ahqaf.

Kundi dogo la majini lilipomuamini Mtume Muhammad (s.a.w) likarudi katika mji wao kama waonyaji wakiwalingania wenzao waiamini Quran na Kumfuats Mtume Muhammad (pbuh) .Baadae ukaja ugeni mkubwa wa majini kwenda kwa Mtume Muhammad (pbuh) kwenda kujifunza kuhusu sheria za Uislam zilizoteremshwa katika Quran.
Quran hiyo hiyo inapinga kuwafanya mayahudi na wakristo kuwa marafiki zao halafu unasema kuna majini mayahudi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hapo ni sawa na kusema kuna majini wasukuma😀😀😀😀
 
Nakupa verse Moja ya kitabu changu

Ewe mokiti tumekuhalalishia watumwa wako na mwanamke muhumini yeyote ajitoe kwako ufanye nae ngono
hawa jamaa ni wa kuhurumiwa tu,
hivi ni kwanini Qurani ya Kiswahili haiandiki hayo majina kwa kiswahili?
Yaani Sura Baqara waandike Sura ya Ng'ombe jike wa Njano:
Katika Biblia kila Sura Kuna Jina la mwandishi wa hiyo sura:
Hawa wanaweka sura ya ya Mchanga wanaficha nini?
Yaani nani aliandika Sura ya Majini ?
Utaziaminije Sura zinazoficha waandishi wake?
halafu unasema kitabu kimejitoshereza kabisa:
Sisi Wanazuoni wabobevu tunapo ongeza tunanukuu mwandishi wake
mfano kutokana na Mtume Yohana Yesu ni Mungu na Ni Mwana wa Mungu:
hapo sio Mimi ninaye ongea Bali namnukuu aliye andika hivyo:
Kwahiyo Aya ya Kurani niseme kutokana na Sisimizi, au Majini, au Kichuguu Cha mchwa Muhamadi ni Mtume wa Allah:
Si ntaonekana Maamuma mbele ya Wabobezi wenzangu ?
 
Quran hiyo hiyo inapinga kuwafanya mayahudi na wakristo kuwa marafiki zao halafu unasema kuna majini mayahudi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hapo ni sawa na kusema kuna majini wasukuma😀😀😀😀
inachekesha sana 😂😂😂.

eti majini yanajua kuwa tourat ya Mussa iko ila hawaifuati. Ila walivyosikia inasomwa na Mohamed . Wakaona anasoma vizuri na kuamua kufuata dini ya Mohamed 😂😂😂😂.

astagafurirrah.
Ngoja nichukue udhu niwahi kuswali . Majini yasije yakawah nafasi.

Ila Majini yanamchezo mbaya.
Leo sibong'oi hovyo. Ni mwendo wa YBWYB.
 
Makobaz hawaipendi USA Ila hao hao wanatamani kuishi USA 😂
Kuna video mmoja niliona mwanamke wa kiislamu yupo USA analalamika. Kosa lake alikuwa anaendesha gari kwa speed kubwa ambayo hairuhusiwi. Maaskari wamemsimamisha na wanamuuliza kwanini unaendesha gari kwa speed kubwa, anadai hiyo ni islamphobia. Akatoa simu ya iPhone anarekodi mahojiano kati ya yeye na askari ili arushe kwenye mitandao ya kijamii ili waislamu wenzake wamchangie hela ya faini😀😀😀
 
inachekesha sana 😂😂😂.

eti majini yanajua kuwa tourat ya Mussa iko ila hawaifuati. Ila walivyosikia inasomwa na Mohamed . Wakaona anasoma vizuri na kuamua kufuata dini ya Mohamed 😂😂😂😂.

astagafurirrah.
Ngoja nichukue udhu niwahi kuswali . Majini yasije yakawah nafasi.

Ila Majini yanamchezo mbaya.
Leo sibong'oi hovyo. Ni mwendo wa YBWYB.
Ukiwauliza waislamu hiyo torati, zaburi na injili viko wapi?
Hakuna atakayekujibu
 
Kwa anayetaka nakala ya Quran tukufu.

Anaweza akadownload hapa na kujifunza...

Imetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili na kuna matini yake ya lugha ya Kiarabu.
Tukiidownload inaomba tuweke password
Mkuu tutajie hiyo password ili tuweze kuifungua na kuisoma
 
Swadakta shekhe, endelea kutupa maarifa sisi maamuma wa dini ya kiislam
 
Hivi ikitokea rais amekutana na wakazi wa chamwino.amekutana na wakazi wote au wachache waliowawakilisha wengine?
Kwa hiyo tuseme alikutana na wawakilishi wa majini ulimwenguni na wao wakasilimu kwa niaba ya wenzao na waliokataa wakakataa kwa niaba ya waenzao duniani kote. Je hii ndio tafsiri sahihi ya unachokisema?
 
walikuokuwepo ndo waliosilimu.hao wengine walisilimu baada ya kupata ujumbe Kwa wakati wao.
 
Nakupa verse Moja ya kitabu changu

Ewe mokiti tumekuhalalishia watumwa wako na mwanamke muhumini yeyote ajitoe kwako ufanye nae ngono
Ushasema kitabu chako.kinatofauti gani na hadithi za shigongo?
 
Back
Top Bottom