Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Kuna mtu alikua anaenda Korogwe Tanga kwa mara ya kwanza akashukia Korogwe ya Kimara.........Korogwe....Korogwe jamaa nipo.....akashuka (ni hivi vi costa vinavyosanya)
 
Kuna kituo kile cha sinza kwa Remmy konda utasikia " wa kwa marehemu wapo?"
 
CCM mbeya duh inabidi upitishe kituo tu maana utasikia konda akisema ccm mpo?
 
Tandale kwa Tumbo ni mtu mwenye tumbo kubwa sana mwenyeji wa hapo nadhani bado yupo
 
Kuna mwingine alijisachi Pasport aliposikia Mombasa Mombasa kumbe ni ile ya Ukonga
 
Back
Top Bottom