Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

makofia360

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
776
Reaction score
2,392
Pamoja na mtihani wa mchujo kuwa mkali sana TPA kupitia Utumishi wapo waliopenya vipi walishaitwaga kazini
 
Basi wale kule wanamambo/kazi nyingi na hata Crew Yao sidhani kama inafanana na tamisemi.. Tamisemi ni kubwa mno hvyo kufanya mchanganuo wa maombi ya kazi ndani ya 1 month is very easy
So ngoma inaeza katika mwezi huu tena patupu
 
Lazima itoke tu.. mda bado, mwaka huu naona utumishi wamekuwa overwhelmed kabisa.. kazi ni nyingi Toka za mwezi wa nne huko Hadi Leo watu hawajaitwa interview.
Kazi gani ilitangazwa mwezi wa nne na hawajaita bado interview ?

Kwa mtindo huo (kasi hiyo) na kwa namna walivyotangaza kazi nyingi hapa katikati, basi kuna watu wataitwa interview Januari mwakani
 
Basi wale kule wanamambo/kazi nyingi na hata Crew Yao sidhani kama inafanana na tamisemi.. Tamisemi ni kubwa mno hvyo kufanya mchanganuo wa maombi ya kazi ndani ya 1 month is very easy
Sekretarieti ya ajira sijui hata kama inafikisha rasilimali-watu ya watu 100 (ukijumlisha walinzi, madereva, makatibu muhtasi, wapishi, n.k).

Ni wakati sasa na wao waombe kibali cha kuajiri
 
Kazi gani ilitangazwa mwezi wa nne na hawajaita bado interview ?

Kwa mtindo huo (kasi hiyo) na kwa namna walivyotangaza kazi nyingi hapa katikati, basi kuna watu wataitwa interview Januari mwakani
Siana uhakika sana Ila nafikiri ni zile za TRA cluster II.. zile hawaitwa Usaili.. toka mwezi April deadline
 
Kazi gani ilitangazwa mwezi wa nne na hawajaita bado interview ?

Kwa mtindo huo (kasi hiyo) na kwa namna walivyotangaza kazi nyingi hapa katikati, basi kuna watu wataitwa interview Januari mwakani
Yaaaap
 
Wanasubiri vyuo vifungwe ndio Waite, maana waombaji NI wengi Sana na wao wanategemea kumbi za UDOM
Aaah okay. This makes sense.

Na kwahiyo lile suala la interview kufanyikia mikoani halitokuwepo kwa ajira hizi ambazo zimekwisha tangazwa bila shaka...
 
Back
Top Bottom