Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

Nakumbuka kuna waziri aliongea waliofaulu ajira mpya zianze mwezi huu July hii ingesaidia sana kupunguza mlundikano katika utendaji wa sekta ambazo bado zinasubiri usaili na nyingine ambazo vibali vimekwisha toka
 
Kama ni ivo majin ya watu waliofanya usaili mwez ya 6 wasubiri mwez Wa 8 ndio majin yao watayaon, maan km watu wamepiga interview mwez wa 5 majin kutok ni mwez wa saba
Majina yaliyotoka ni kwa Ufundi hao wengine bado hayajatoka lkn idara nyeti walianza kuingiza vipenyo wao mwezi mmoja uliopita

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kuna watu walifanya usaili huko huko TPA mwezi wa sita nafasi zilikuwa sita tu yani security Assistant moja na security guard tano matazamio ya wengi walidhani wengeunganishwa na hao wa mwezi wa tano kumbe haiko hivyo
 
Kaka unataka sema kuna kada ambao walifanya usaili hio mwezi wa 5 na majibu yao hayapo kwenye huu mkeka!?
Waliofanya mwezi wa sita tarhe 19 hadi 23 hayamo humo tena ukizingatia kama TPA kuna kada zilikuwa zimekosa watu wakazirudia vijana waliofanya usaili walitazamia wangeunganishwa
 
Back
Top Bottom