Majina ya walioitwa kazini TPA kupitia Utumishi yalishatokaga?

Kaka unataka sema kuna kada ambao walifanya usaili hio mwezi wa 5 na majibu yao hayapo kwenye huu mkeka!?
Mkeka uliotoka ni wa mechanics ambao wameajiri watu 11

Zile zingine ambazo zilitolewa pamoja na TRA ,TASAC na TPA mkeka bado ila hapa kigoma kuna pisi 4 za moto zipo kazini mwezi na nusu sasa wanadai wao waliomba kwenye hizo ambazo mkeka bado haujatoka (so vipenyo wameshaanza kuripoti soon mkeka utakuwa hewani)
 
Huo wa pili soon mzeiya
 
Back
Top Bottom