Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Kuna kazi flani TSN tangu May mwanzoni hadi leoKazi gani ilitangazwa mwezi wa nne na hawajaita bado interview ?
Kwa mtindo huo (kasi hiyo) na kwa namna walivyotangaza kazi nyingi hapa katikati, basi kuna watu wataitwa interview Januari mwakani
Yeah ni kweliWanasubiri vyuo vifungwe ndio Waite, maana waombaji NI wengi Sana na wao wanategemea kumbi za UDOM
Kazi zipi hizo.. Maana naona walimu na Afya tayariMmmh kuna kazi za tamisem huu ni mwezi wa pili hawajaita tangu watangaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Pdf ipo lkn kumbuka TPA ni mamlaka so utaratibu ni tofauti kidogoAhaha Hatari kwahiyo Pdf hamna tena
Ila zote sii zinapitia UtumishiPdf ipo lkn kumbuka TPA ni mamlaka so utaratibu ni tofauti kidogo
Watawaita usijari hata mimi nina mdogo alipiga usahili wa ufundi TPA kitambo kidogo so cool downIla zote sii zinapitia Utumishi
Watawaita usijari hata mimi nina mdogo alipiga usahili wa ufundi TPA kitambo kidogo so cool ddo
Basi vijana wavute subra ingawaje wanasema July haitaisha pdf itamwagwaWatawaita usijari hata mimi nina mdogo alipiga usahili wa ufundi TPA kitambo kidogo so cool down
Umeangalia leo.Km hujacheki hebu wahi...utanishukuruAhaha Hatari kwahiyo Pdf hamna tena
KAZI ipoHili la Sensa na TRA kuna possibility kubwa zakaingiliana
Majina yaliyotoka ni kwa Ufundi hao wengine bado hayajatoka lkn idara nyeti walianza kuingiza vipenyo wao mwezi mmoja uliopitaKama ni ivo majin ya watu waliofanya usaili mwez ya 6 wasubiri mwez Wa 8 ndio majin yao watayaon, maan km watu wamepiga interview mwez wa 5 majin kutok ni mwez wa saba
Kaka unataka sema kuna kada ambao walifanya usaili hio mwezi wa 5 na majibu yao hayapo kwenye huu mkeka!?Majina yaliyotoka ni kwa Ufundi hao wengine bado hayajatoka lkn idara nyeti walianza kuingiza vipenyo wao mwezi mmoja uliopita
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Waliofanya mwezi wa sita tarhe 19 hadi 23 hayamo humo tena ukizingatia kama TPA kuna kada zilikuwa zimekosa watu wakazirudia vijana waliofanya usaili walitazamia wangeunganishwaKaka unataka sema kuna kada ambao walifanya usaili hio mwezi wa 5 na majibu yao hayapo kwenye huu mkeka!?