Mkeka uliotoka ni wa mechanics ambao wameajiri watu 11
Zile zingine ambazo zilitolewa pamoja na TRA ,TASAC na TPA mkeka bado ila hapa kigoma kuna pisi 4 za moto zipo kazini mwezi na nusu sasa wanadai wao waliomba kwenye hizo ambazo mkeka bado haujatoka (so vipenyo wameshaanza kuripoti soon mkeka utakuwa hewani)