Naomba mniangalizie jina hili wakuu kama amechaguliwa popote
TUMAIN K. DAUD
tuliwambiamasomo 2014/15
wanafunzi watakaojiunga watu humu wakabisha mafunzo ngazi ya cheti hakuna na division four hakuna
aliye kudanganya nani hayo yaliotoka ni stashahada ----- we walivyo andika vigezo vya kujiunga ngazi ya cheti vilikua vya kunya au na kama hakuna wangetoa tangazo stashahada ni kwa 1 mpaka 3 tu au kidato cha sita pale wakaongeza na ngazi ya cheti 4 ya 32 hd 34 na sin unaandika habari isiyo rasmi
kuhusu hayo majina ni ya wale form six sasa bc wale wa four mu wait ndani ya wiki kadhaa mtadondoshewa yakwenu hapo we kama ni cheti wala usihangaike ku sach jina
aliye kudanganya nani hayo yaliotoka ni stashahada ----- we walivyo andika vigezo vya kujiunga ngazi ya cheti vilikua vya kunya au na kama hakuna wangetoa tangazo stashahada ni kwa 1 mpaka 3 tu au kidato cha sita pale wakaongeza na ngazi ya cheti 4 ya 32 hd 34 na sin unaandika habari isiyo rasmi
hivi jamani, kwa akili ya kawaida inamaana hawa wanao soma private ngazi ya cheti na wana div.4 ina maana hawato pata ajira?haya endelea kusubili selection ya cheti
unavijua vyuo vya serikali vinauwezo wa kuchukua wanachuo wangapi?kama hujui refer selection za miaka iliyopita halafu uendelee kujipa moyo utachaguliwa kwenda grade A katika vyuo vya serikali!
walivyo andika tangazo la ualimu ngazi chet walimaanisha hao watasomea na kulala bafuni au wameandika wakijua wata select wangap we unafikiri wana bebwa wote? Hasa hasa science na biashara
Naomba kuuliza ayo majina ni kwa wale wa six au naomba kujuzwa nimeshindwa kuelewa