Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.
tuliwambiamasomo 2014/15
wanafunzi watakaojiunga watu humu wakabisha mafunzo ngazi ya cheti hakuna na division four hakuna

aliye kudanganya nani hayo yaliotoka ni stashahada ----- we walivyo andika vigezo vya kujiunga ngazi ya cheti vilikua vya kunya au na kama hakuna wangetoa tangazo stashahada ni kwa 1 mpaka 3 tu au kidato cha sita pale wakaongeza na ngazi ya cheti 4 ya 32 hd 34 na sin unaandika habari isiyo rasmi
 
Wakuu, wangine tuliomba mafunzo ya ualimu ngazi ya Diploma katika masomo ya Biashara yaani Commerce na Book keeping katika vyuo vya Shinyanga na Kigoma je utaratibu umekuaje hapa katika list ya Nacte au hakuna aliyepata?
 
aliye kudanganya nani hayo yaliotoka ni stashahada ----- we walivyo andika vigezo vya kujiunga ngazi ya cheti vilikua vya kunya au na kama hakuna wangetoa tangazo stashahada ni kwa 1 mpaka 3 tu au kidato cha sita pale wakaongeza na ngazi ya cheti 4 ya 32 hd 34 na sin unaandika habari isiyo rasmi

unavijua vyuo vya serikali vinauwezo wa kuchukua wanachuo wangapi?kama hujui refer selection za miaka iliyopita halafu uendelee kujipa moyo utachaguliwa kwenda grade A katika vyuo vya serikali!
 
ya half combination yanatoka lini???????
kuhusu hayo majina ni ya wale form six sasa bc wale wa four mu wait ndani ya wiki kadhaa mtadondoshewa yakwenu hapo we kama ni cheti wala usihangaike ku sach jina
 
aliye kudanganya nani hayo yaliotoka ni stashahada ----- we walivyo andika vigezo vya kujiunga ngazi ya cheti vilikua vya kunya au na kama hakuna wangetoa tangazo stashahada ni kwa 1 mpaka 3 tu au kidato cha sita pale wakaongeza na ngazi ya cheti 4 ya 32 hd 34 na sin unaandika habari isiyo rasmi

haya endelea kusubili selection ya cheti
 
Jaman wana jamvi naomba mnijuze kwenye haya majina nimekuta stashahada ya elimu ya msingi na mbona ya sekondari haipo?na je wakati wa kusearch mbona naambiwa enter your form four index number, ina maana wametoa ya wale wa kidato cha nne tuu?
 
unavijua vyuo vya serikali vinauwezo wa kuchukua wanachuo wangapi?kama hujui refer selection za miaka iliyopita halafu uendelee kujipa moyo utachaguliwa kwenda grade A katika vyuo vya serikali!

walivyo andika tangazo la ualimu ngazi chet walimaanisha hao watasomea na kulala bafuni au wameandika wakijua wata select wangap we unafikiri wana bebwa wote? Hasa hasa science na biashara
 
walivyo andika tangazo la ualimu ngazi chet walimaanisha hao watasomea na kulala bafuni au wameandika wakijua wata select wangap we unafikiri wana bebwa wote? Hasa hasa science na biashara

haya endelea kungoja pera chini ya mchungwa kijana.
 
form six yapo mbona!.
Yakwao wameandika stashahada ya juu.
 
Ndugu wana jukwaa la elimu, post za ualimu kwa masomo ya sayansi/hisabati wametoa vyuo viwili tu KLERRUU NA KOROGWE pamoja na couz chache za MONDULI kama CA, BA na BN. Inamaana wataendelea kutoa kwa vyuo vilivyobaki kama MOROGORO, BUTIMBA, MPWAPWA NA TUKUYU? maana duu kwa yaliyotoka sijachaguliwa kwakweli...!! msaada tafadhali
 
watatoa majina mengine mkuu, kwan vyuo vingi tu bado majina hayajatoka
 
Serikali jana imetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga mafunzo ya ualimu na kuna mabadiliko makubwa sana. Mabadiliko hayo ni pamoja na Imefuta ualimu ngazi ya cheti,

Imefuta ualimu ngazi ya diploma kwa masomo ya sanaa (arts)

Imeanzisha diploma ya elimu ya msingi na awali,

Imeanzisha diploma ya juu advanced diploma

Kwa sekondari imechukua masomo ya sayansi na lugha tu.

Hali ni mbaya sana kama una four usihangaike kuangalia jina lako.

Kupata majina tembelea

www.nacte.go.tz
 
hayo ni kwa walioomba stashahada ya juu(advanced diploma) na wengi wao ni wafanyakazi kuwen na subila jaman kila mwenye sifa aliyeapply anapata chuo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom