:hungry::hungry::hungry:
hahah na wakishato kupiga mangure na busaa ahahah
lazima akuchune ngozi hahah ....... Manyara nzima
haiko nyuma kwenye hii idara nasikia ukiwa legelege
kidogo tu inakula kwako hahah
mpaka njaa imepotea wewe ndio unaonekana bana. hakyanani jana niliota nafanya matusi na gorilla.karibu ..:frog:
mpaka njaa imepotea wewe ndio unaonekana bana. hakyanani jana niliota nafanya matusi na gorilla.
mpaka njaa imepotea wewe ndio unaonekana bana. hakyanani jana niliota nafanya matusi na gorilla.
mpaka njaa imepotea wewe ndio unaonekana bana. hakyanani jana niliota nafanya matusi na gorilla.
munaniacha hoi dadazangu, kumbe mnatuita taahira niko hoi kwa kichekoHusninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira
Naomba kazi ya kukata nyasi asilia....
hahahah lol
sasa gorilla alikuwa juu au chini??
Dah nyasi asilio ndo zipi hizi? magugu?
kalikuwa ni ka gorilla kadogo ndo kwanza kamevunja ungo, nilikuwa nimeanza kukarusha rusha kwa hasira. faza wake akatokea. mwisho wa ndoto.
miaka yote hii leo ndo ananifanyia hivi ..
iiiiiiiiiiiiiii mie sina hamu...
dunia hii ni chungu sana
mmmmmmm:Cry::Cry::Cry:
Ushapigwa kibuti tulia utapata mwingine
Mabeberu
Jinga
Lofa
Jogoo Hawiki
Kipenseli
Fundi gari/saa/umeme nk
Chomeka chomeka
Ringi
mmmhhh
kupenda ni dhambi sana
lo ndo nimegundua ...
miaka yote hii leo ndo ananifanyia hivi ..
iiiiiiiiiiiiiii mie sina hamu...
dunia hii ni chungu sana
mmmmmmm:Cry::Cry::Cry:
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?
Mfano:
1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI
Kama unayajua mengine unaweza ongezea