Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala

2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.

3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.

4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.

5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba

6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.

Mdau na wewe tupia mmoja wapo unaemjua
 
Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi

Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?

Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?

Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila

Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Kwani makabila mengine nayo hayakuwa na watu wenye sifa hizo hadi ateue kabila lake tu kwa wingi?
 
Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi

Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?

Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?

Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila

Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Unamfahamu vizuri marehemu Joseph Nyerere? Unajua alikuwa nani ndani ya TANU? Lini hayati Karume alimteua Amani Karume?
 
Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!

Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu
 
Kweli?
 
Ni kweli kulikuwa na hisia za upendeleo lakin tusitumie kigezo hicho kuanza kuwaandama, tutakuwa tunaharibu Tanzania yetu adheem
Naungana na.wewe, yule aliteua kwa utashi wake na inawezekana wapo waliobebwa lakini na wao walikuwa na sifa. Tatizo ni pale waliobebwa walipoharibu lakini wakaendelea kukumbatiwa kama ilivyotokea kwa Makonda. Hata hivyo si wakati wa kusakama watu tukaonekana na sisi tuliokuwa tunampinga tuko kama yeye. Ameondoka na madhaifu yake makubwa tumwache aende zake.
 
Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!

Najua umestuka kuwapa Historia Vijana kuwa Nyerere alimteua Mdogo wake kuwa Mbunge

Hapo sijaaamua kuwaambia Vijana kuwa alimteua pia Mwana Ukoo wake alieishia darasa la 3 kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF) Generali Musuguri

Sijui kama wanajua kuwa Mwana Ukoo wake Nyerere, Joseph Butiku nae akateuliwa kuwa Katibu wa Ikulu

Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Unamfahamu vizuri marehemu Joseph Nyerere? Unajua alikuwa nani ndani ya TANU? Lini hayati Karume alimteua Amani Karume?
 
Watanzania wenzangu.
Kama tunatakankujenga Tanzania moja nadhani tusiulizane kuhusu kabisa na ukanda, ama rangi wala hata dini.

Kwani Rais akiwa kabila fulani maana yake watu wa kabila lile wanapoteza haki na fursa ya kuwa Viongozi hata kama wana sifa(kama vile elimu, uwezo wa kuongoza) na Vigezo?

NINAFIKIRI: Si sahihi kupinga ukabila kwa njia za kikabila.

yangu ni hayo tu

Langu jina ninaitwa, Machepele Tanzania
 
Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!

Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu

Kuna Dotto James kuna yule mwenyekiti wa UVCCM kijana wa kudunga watu sindano.Huyu mpinzani wake alibanbikiwa kesi ya rushwaa baada ya uchaguzi kesi ikafutwa.
 
Naungana na.wewe, yule aliteua kwa utashi wake na inawezekana wapo waliobebwa lakini na wao walikuwa na sifa. Tatizo ni pale waliobebwa walipoharibu lakini wakaendelea kukumbatiwa kama ilivyotokea kwa Makonda. Hata hivyo si wakati wa kusakama watu tukaonekana na sisi tuliokuwa tunampinga tuko kama yeye. Ameondoka na madhaifu yake makubwa tumwache aende zake.
Hapana mkuu kama kuna waliobebwa kwa ukabila waondolewe. Acha ujinga kabisa. Yaani watu mil 60 wasukuma tu ndio wawe wanasifa kwa asilimia 80?
 
Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi

Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?

Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?

Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila

Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Je alikuwa sahihi? Two wrongs do not make one right!
 
Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!

Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Nimekuuliza unafahamu vizuri historia ya Joseph Nyerere kwenye kupigania uhuru wa nchi hii? Hiyo ya Karume ina tatizo gani? Maana ni yeye na mdogo wake tu walishakula shavu kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom