Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Mnajua Shida Haikua Kutoka wapi ila Kunyanyasa sana waliochini Yao kwa kuwa tu wanajuana au walikua na uhusiano Na Mkuu.
 
Mama umelazilishwa kuja kujadili umuache mmeo peke yake?
Ndo matatizo ya kutumia sehemu ndogo ya akili yako. Ulisoma nini maana kila mtu anasema ana digrii. Sasa kama ulikopa ujue mkopo unakuumiza bure tu bila elimu.
 
Tukianza kuendekeza ukabila na kila mtu akawa anamkubali mtu wa kabila lake tu na hata kura ziwe zinapigwa kwa kuangalia kabila la mtu basi Wasukuma watatawala hii nchi milele, ni upumbavu wako tu ndio uliokusukuma kuleta topic ya kipumbavu humu

Kwamba wasukuma ni wengi kuliko watanzania wote! Achani ukabila mmezidi!
 
Thi
1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala

2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.

3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.

4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.

5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba

6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.

Mdau na wewe tupia mmoja wapo unaemjua

That is nonsense it is not an important issue to discusse
 
Kuna Dotto James kuna yule mwenyekiti wa UVCCM kijana wa kudunga watu sindano.Huyu mpinzani wake alibanbikiwa kesi ya rushwaa baada ya uchaguzi kesi ikafutwa.
Yule dogo tuombe Mungu aishie hapo akipata madaraka makubwa atamzidi makonda
 
Kama ana vigezo bi sahihi

Baba yako akiwa Rais haikunyimi wewe mtoto au ndugu haki ya kuwa Kiongozi kwny Serikali kama una sifa na vigezo
Kwa sasa sifa sio tatizo, wilaya 1 inaweza kuwa na wenye sifa kibao, ni busara tu utakiwa ila kuna makabila kama we ni kiongozi ukachagua wa kabila lako 4 na huku kwingine ukachagua 40 bado utaandamwa kuwa wewe ni mkabila, ni kama iliyo kwa hizi dini 2 upande mmoja wakifuatana 7 tu kati 40 utasikia kelele kibao lkn upande mwingine wakifanya hivyo wala hauwezi sikia kelele za kutisha.
 
Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi

Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?

Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?

Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila

Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Natumaini unayaandika haya kwa moyo safi. Na isiishie kwa ukabila tu, bali kwa kila aina yoyote ya upendeleo, iwe jinsia, dini n.k.

Ikiwa hivyo, tutakuwa tumeondokana na unafiki.
 
1. Mashimba- waziri mifugo
2. Shigella- RC Tanga
3. Dotto James- hazina BOT
4. Kheri James-uvccm
5. Dotto biteko- waziri madini
6. Kadogosa-mkurugenzi TRL
7. Kundo-NW Habari
8. Juliana shonza
Etc etc etc
 
Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!

Najua umestuka kuwapa Historia Vijana kuwa Nyerere alimteua Mdogo wake kuwa Mbunge

Hapo sijaaamua kuwaambia Vijana kuwa alimteua pia Mwana Ukoo wake alieishia darasa la 3 kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF) Generali Musuguri

Sijui kama wanajua kuwa Mwana Ukoo wake Nyerere, Joseph Butiku nae akateuliwa kuwa Katibu wa Ikulu

Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Ukweli ni kuwa Jenerali Msuguri hakuwa ndugu na Mwalimu Nyerere ila walikuwa wanatoka kijiji kimoja.

Nimewahi kuishi nyumbani kwa Joseph Nyerere, niliwahi mara kadhaa kukaa na Mwalimu Nyerere na kula naye sahani moja ugali wa ulezi, nikiwa nimemaliza kidato cha 6, na mwalimu akiwa amestaafu Urais.

Niliwahi kuishi kwa Musuguri kijijini kwa miezi miwili, nilipokuwa JKT, naye akiwa amestaafu.Hivyo nawafahamu ndugu wengi wa damu wa Mwalimu Nyerere, na baadhi ya ndugu wa Musuguri.
 
Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!

Najua umestuka kuwapa Historia Vijana kuwa Nyerere alimteua Mdogo wake kuwa Mbunge

Hapo sijaaamua kuwaambia Vijana kuwa alimteua pia Mwana Ukoo wake alieishia darasa la 3 kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF) Generali Musuguri

Sijui kama wanajua kuwa Mwana Ukoo wake Nyerere, Joseph Butiku nae akateuliwa kuwa Katibu wa Ikulu

Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Shida iliyopo kwa watu wengi ni kutofuatilia historia. Wakienda jukwaa la historia wanasema mzee mohamedi ni mdini.badla ya kusoma anayoandika. Shida sana hii
 
Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!

Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu
Hata wakwere walipendeleana wakati ule. Angalia marais Zanzibar unasemaje.Wachaga na kipindi cha Mkapa kwa ushemeji. Temea chini suala la upendeleo. Liko kila Mahala na kila wakati. Tusiendekeze itikadi na fikra za ukabila na udini. Kiongozi mkuu lazima achague confidents wake na wenye sifa kwa urahisi wa uongozi.
 
Sio kwa kiwango hiki bila hata aibu?
 
Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!

Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu
Wasukuma ni wana ukabila sana,,kiwekwe kipengele kwenye katiba marufuku wasukuma kupewa madaraka makubwa kabisakabisa,,
 
Sio kwa kiwango hiki bila hata aibu?

There is no such thing as collective crime.

When are you people going to learn this simple lesson?

Ukianza kuwabagua
wasukuma sasa hivi kisa walipendelewa na mwendazake utakuwa na tofauti gani na huyo mwendazake aliyebagua wengine kwasababu walipendelewa na Ben?

Ubaguzi wa makabila, rangi, matabaka, jinsia n.k upo siku zote mioyoni mwa watu. Kinachoushinda usijitokeze kwa matendo ni maendeleo makubwa ya akili yanayozima hisia za kijima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom