Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #141
Tofautisha udini na ukatoliki, tumia akili wewe...Hahahahaha
Kwenye dini najua kuna Immunity ya kutetewa
Kama hakuwa Mdini basi pia hakuwa Mkabila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha udini na ukatoliki, tumia akili wewe...Hahahahaha
Kwenye dini najua kuna Immunity ya kutetewa
Kama hakuwa Mdini basi pia hakuwa Mkabila
Kwann usiwe weweKwanini usiwe wewe ndiye mpumbaf?
Nyani Ngabu kuna mtu anatutukana hukuMasukuma ni Majinga Sana!
Unawashwa mnyeo?Alipomtumbua mjomba wako fisadi ndipo akawa mbaya kwako?
Ahaa kumbe shida ni Wasukuma,ila wakijaa wa kanda ya ziwa akunashida ila wasiwe wasukuma?Iyo kanda ya ziwa ni code tu inayotumika,lakini maana ya neno kanda ya ziwa kwa muktadha huu inaeleweka inamaanishana nini.
Kwa kuwa mama Mkapa alikuwa na upendeleo wa kikabila ndio wasukuma au wanakanda ya ziwa wajipendelee?mama anna mkapa mumewe aliposhika urais aliwanyanyua wachagga wakawa matajiri kwa pesa za serikali tena mama huyu hakuwa rais bali mke wa rais je mchaga akiwa rais wa nchi itakuwaje. crdb boss sijui alikuwa mchaga wafanyakazi 90% wachaga tra walikuwa wachaga. vipi hawa wachaga wakishika nchi itakuwaje
Haya mambo Nyerere alikemea sana.Kitendo cha wewe kukaa na kupekenyua asili ya wateuliwa wote wa Raise na kugundua baadhi ni wa kabila fulani wewe ni mkabila namba moja.1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala
2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.
3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.
4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.
5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba
6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.
Mdau na wewe tupia mmoja wapo unaemjua
Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!
Najua umestuka kuwapa Historia Vijana kuwa Nyerere alimteua Mdogo wake kuwa Mbunge
Hapo sijaaamua kuwaambia Vijana kuwa alimteua pia Mwana Ukoo wake alieishia darasa la 3 kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF) Generali Musuguri
Sijui kama wanajua kuwa Mwana Ukoo wake Nyerere, Joseph Butiku nae akateuliwa kuwa Katibu wa Ikulu
Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Nepotism vs favouritism tofautisha ndio uje ubishane na wanaumeHaya mambo Nyerere alikemea sana.Kitendo cha wewe kukaa na kupekenyua asili ya wateuliwa wote wa Raise na kugundua baadhi ni wa kabila fulani wewe ni mkabila namba moja.
Kipimo cha wateule wa Rais ni ufanisi wao katikae kazi.Alimteua PM Mmwera ambae watu hawakimtarajia kabisa,mbona hamjasema kitu?.
Mzee angekuwa na Nepotism angeshindwa kuwatengenezea watoto wake njia za kuwa maarufu na wakubwa?,Lakin mzee hakutaka hayo watoto wake wamefahamika machoni mwa watu baada ya yeye kufariki.
Hakuna teuzi ambazo mtaridhika nazo kwa yeyote atakaekuja.Juzi mmeanza oooh mama anateua wanzanzibar,je serikali zilizopita Wazanzibar hawakuteuliwa?.
Kumbe wa kanda ya ziwa bado wanapendelewa!We huoni?
Huna cha kuwafanya wasukuma hata kama huwapendi.Ukanda na ukabila ndiyo legacy kuu aliyoacha Magufuli.Wanaiga kutoka kwa boss wao huyu.
Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa siwapendi wasukuma?Huna cha kuwafanya wasukuma hata kama huwapendi.
Kwa hiyo Ccm kuwa na wafuasi wengi kanda ya ziwa ndio mnaipendelea?Kumbe wa kanda ya ziwa bado wanapendelewa!
Cha kujiuliza ni kwanini wapendelewe wakati Rais wa sasa sio wa kanda ya ziwa?
Kuna nini kanda ya ziwa hadi wanapendelewa,hata kampeni za kanda ya ziwa vyama vyote uwa ni za tofauti na za kanda zingine.
Hata vyama vya siasa avikauki kuacha kuweka watu wa kanda ya ziwa tena nafasi za juu,kwanini watu wa kanda ya ziwa wanapendelewa kiasi hiki?
Umeshindwa nini kufokeana na mkeo?Mkuu wa Serikali ya mtaa wangu ni msukuma,RPC wangu ni msukuma,CDF wangu ni msukuma,mkubwa wa Mgambo wangu ni msukuma ikiwezekana hata Bashite arudishwe tuendelee kufokeana Tanzanian bila wasukuma ni boring sana.
Busara ni kwamba jamii mojawapo tuseme Wamakonde,wakisha toa Raisi wa jamhuri ya muungano,kwao inatosha sana,hata kama kuna jamii itapewa waziri mkuu,wakurugenzi wa Bandari na TRA,na mashirika ya umma,hawawezi kuifikia jamii iliyotoa Raisi,kwa nafasi katika utumishi wa umma,ndio maana tunasema,kama Raisi ni msukuma,hakuna haja Tena kuweka CDF msukuma,IGP msukuma,Katibu hazina msukuma,DPP msukuma,na mawaziri kibao wasukuma,Mpina,Kingwangala,Kalemani,hapo kuna kuwa hakuna uwakilishi Sawa wa makabila yote katika utumishi wa umma,jamii ikitoa Raisi inatosha,Ikitoa Makamu wa Raisi,inatosha,Ikitoa PM inatosha,nafasi zingine ziende kwa jamii zingineKwani Rais akiwa kabila fulani maana yake watu wa kabila lile wanapoteza haki na fursa ya kuwa Viongozi hata kama wana sifa na Vigezo?
Si sahihi kupinga ukabila kwa njia za kikabila
Huu sasa ni uchochezi..amkeni Watanzania..Kama ndugu yangu unania ya kuwachonganisha Watanzania umechelewa..sisi hatutazamani kwa ukanda, udini au ukabila..hizo siasa Zako za maji taka baki nazo mwenyewe..1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala
2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.
3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.
4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.
5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba
6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.
Mdau na wewe tupia mmoja wapo unaemjua
Hawezi kukuelewa huyu mduwanzi, hajuwi maana ya kubalanceBusara ni kwamba jamii mojawapo tuseme Wamakonde,wakisha toa Raisi wa jamhuri ya muungano,kwao inatosha sana,hata kama kuna jamii itapewa waziri mkuu,wakurugenzi wa Bandari na TRA,na mashirika ya umma,hawawezi kuifikia jamii iliyotoa Raisi,kwa nafasi katika utumishi wa umma,ndio maana tunasema,kama Raisi ni msukuma,hakuna haja Tena kuweka CDF msukuma,IGP msukuma,Katibu hazina msukuma,DPP msukuma,na mawaziri kibao wasukuma,Mpina,Kingwangala,Kalemani,hapo kuna kuwa hakuna uwakilishi Sawa wa makabila yote katika utumishi wa umma,jamii ikitoa Raisi inatosha,Ikitoa Makamu wa Raisi,inatosha,Ikitoa PM inatosha,nafasi zingine ziende kwa jamii zingine