Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #101
Tofautisha udini na ukatoliki. Ni wazi alikuwa na ukatoliki.Ila ukitaja teuzi zenye viashiria vya udini wa Jiwe, hawa wooooote wanaomlaani kwa ukabila wanaungana kumtetea 😁😁