Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Ndio Unafiki wa wa Tz

Kuna wengine wanapinga ukabila wa JPM lakin akiona wa kabila lao kateuliwa anaanza kupeleka fitna za kikabila apate fursa ama za ajira au za kandarasi

Wanapinga ukabila ambao hauwanufaishi
Ila ukitaja teuzi zenye viashiria vya udini wa Jiwe, hawa wooooote wanaomlaani kwa ukabila wanaungana kumtetea [emoji16][emoji16]
 
Yaani upendeleo wa awamu ya 5 kwa wasukuma ndiyo unaliganisha na upendeleo wa Nyerere kwa watu wa Mara? ubongo wako utakuwa na kutu. Uzuri awamu ya 5, upendeleo ulikuwa wa wazi kabisa bila kificho chochote tena kwa kasi ya 4G.
Hana akili huyo
 
Msukuma pekee ambaye ja kupata bahati ya kukumbukwa katika teuzi ni Pascal Mayalla sijui alikuwa na nuksi gani !.Jamaa baada ya kuona hata kurugenzi ya Ikulu hakunbukwi akaamua kujitosa ubunge Kawe kule hakupiga hesabu vizuri kumbe alikuwepo Msukuma zaidi yake bora angekwenda jimbo lingine angewaza kukumbukwa.

huyo pascal hajielewi hata mada zake huwa mbovu
 
Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila

Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea

Kabisa, athari zake zitakuwa kubwa kuliko wanavyodhani. Ila nahisi kuna nguvu ya ziada inatumika kutaka kueneza hii kasumba nchini. Pengine umoja na mshikamano wetu unawakera sana...
 
Hii nchi tunakoelekea itakuwa kama Kenya 🇰🇪, hapo ndio utakuwa mwanzo wa wasenge fulani kuwatia adabu, huwezi ukasema wazi kuwa Wasukuma wabaya huku 1/4 ya population ya Tz ni wao tu
Kuwa 1/4 ndio sababu ya kupendeleana?
 
Ukabila ukitamalaki hakutakuwa na hivi vyama hakuna cha Chadema, CCM,Nccr mageuzi wala Nini,chama chako ni kabila lako full stop,hakuna cha kampeni wala nini, kama wewe ni mndengereko utapata kura za wandengereko wenzako tu na hapo ndio patakuwa patamu, natamani sana tufike huko aisee hata kuanzia 2025 tu
 
JPM kabla hajafa aliitwa Mhutu leo kafa wasenge wanasema ni msukuma which is which.Dr Mpango kawa VP anaitwa Mhutu wa Burundi, hii nchi tulipo ni patamu Sana tutafika tu.Hizi elements zikipenya zaidi kwa wananchi ndio patakuwa patamu zaidi itakuwa ukabila ukabila ukabila, nafasi za juu za uongozi zitashikwa na makabila makubwa tu, wengine watabaki kulalamika tu nyuma ya keyboards na hawatafanya lolote
Kwanini wewe usiwe ndiye mmiliki wa hilo jina ?
 
Kwani makabila mengine nayo hayakuwa na watu wenye sifa hizo hadi ateue kabila lake tu kwa wingi?
Wewe ni zumbukuku kabisa,unaakili kama za kuku,kwa hiyo wewe ulitaka kabila lake asiwateue hata mmoja,hebu tazama baraza la mawazili kipindi cha mwinyi,do pius ngw'andu,dk william shija,marcel komanya,charles kabeho,Steven kazi,bujiku sakila, dk nkwabi ngwa'nakilala,Andrew change,hawa woote walikuwa vigogo ktk nafasi za kuteuliwa
 
Mpambe wa rais nae ni nafasi ya kiongozi wa jamii? Kwa ujumla hata sasa bado hawajabalance vizuri.
Haya tuachane basi na mpambe wa Rais.
Haya nijibu basi na huyu waziri mpya wa mambo ya nje ni Muhaya,vipi Rais bado anapendelea wa kanda ya ziwa?
 
1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala

2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.

3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.

4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.

5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba

6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.

Mdau na wewe tupia mmoja wapo unaemjua
Kwa akili kama hizi . .wewe na ukoo wenu mnahasara tupu.

Wasukuma ni wengi mno hapa nchini. Na bahati Mbaya mi washamba na hawajui kutumia wingi wao kufanya mambo.

Lakini wangekuwa sio washamba mambo yangekuwa sio mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom