Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Walikujawa na kiburi cha kuingiza mifugo kwenye mashamba ya watu kisa wao wanaundugu na wazinza. Cha msingi tujipange upya tusinyanyasane
Ndiyo maana sasa inabidi tumsapoti mama ili aondoe huu uchafu kabisa
 
Wewe ni zumbukuku kabisa,unaakili kama za kuku,kwa hiyo wewe ulitaka kabila lake asiwateue hata mmoja,hebu tazama baraza la mawazili kipindi cha mwinyi,do pius ngw'andu,dk william shija,marcel komanya,charles kabeho,Steven kazi,bujiku sakila, dk nkwabi ngwa'nakilala,Andrew change,hawa woote walikuwa vigogo ktk nafasi za kuteuliwa
Madhala ya kufikiri kwa mnyeo
 
Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi

Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?

Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?

Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila

Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Alikuwa na umri gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom