Nilikupa Mfano wa Nyerere kwa makusudi maana nilijua utakuja na point za kutetea 'Nepotism' yake
Basi tumia point hizo hizo kumtetea JPM kuwa kumbe tatizo sio kuteua Ndugu zako issue ni jee wanastahiki au laa… basi wateule wa JPM ambao ni wasukuma tujadili sifa zao kama wanastahiki au laa sio kuleta issue za kikabila…
Sio sahihi kujaza chuki zenu za kikabila wakati mnaupinga ukabila
Nashangaa hata wale waliokula fursa za kibiashara wakati wa Anna Mkapa nao eti wanapinga 'ukabila' wa Wasukuma… hata wale waliolamba 'fursa' wakati wa Kimei CRDB nao eti 'wamehuzunishwa' na ukabila wa JPM