Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!

Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?
Nimekuuliza unafahamu vizuri historia ya Joseph Nyerere kwenye kupigania uhuru wa nchi hii? Hiyo ya Karume ina tatizo gani? Maana ni yeye na mdogo wake tu walishakula shavu
 
Mtoa post ana ukabila wa kiwango cha juu.Ulitaka Wasukuma wasipate kabisa fursa yoyote?Si mlisema Magufuli si msukuma!Acheni chuki.
Una maana gani kuteuliwa ni fursa? Mbona miaka yote wasukuma wanashika nyadhifa, lakini sio kama enzi za awamu ya tano?
 
Una maana gani kuteuliwa ni fursa? Mbona miaka yote wasukuma wanashika nyadhifa, lakini sio kama enzi za awamu ya tano?
Ni wasukuma wangapi wameteuliwa?Acha chuki za kikabila.Kama kuna msukuma alikukwaza shughulika na huyo huyo lakini usitugawe Watanzania kwa hoja mfu za kikabila.
 
Hapana mkuu kama kuna waliobebwa kwa ukabila waondolewe. Acha ujinga kabisa. Yaani watu mil 60 wasukuma tu ndio wawe wanasifa kwa asilimia 80?

Msukuma pekee ambaye ja kupata bahati ya kukumbukwa katika teuzi ni Pascal Mayalla sijui alikuwa na nuksi gani !.Jamaa baada ya kuona hata kurugenzi ya Ikulu hakunbukwi akaamua kujitosa ubunge Kawe kule hakupiga hesabu vizuri kumbe alikuwepo Msukuma zaidi yake bora angekwenda jimbo lingine angewaza kukumbukwa.
 
Msukuma pekee ambaye ja kupata bahati ya kukumbukwa katika teuzi ni Pascal Mayalla sijui alikuwa na nuksi gani !.Jamaa baada ya kuona hata kurugenzi ya Ikulu hakunbukwi akaamua kujitosa ubunge Kawe kule hakupiga hesabu vizuri kumbe alikuwepo Msukuma zaidi yake bora angekwenda jimbo lingine angewaza kukumbukwa.
Ahaaa. Nasikia aliuliza swali gumu Ikulu akawa amejiharibia
 
Sisi ni taifa moja, Kambarage baba mmoja sasa tofauti za nini tusimame tukaijenge Tanzania
 
Tukianza kuendekeza ukabila na kila mtu akawa anamkubali mtu wa kabila lake tu na hata kura ziwe zinapigwa kwa kuangalia kabila la mtu basi Wasukuma watatawala hii nchi milele, ni upumbavu wako tu ndio uliokusukuma kuleta topic ya kipumbavu humu
Kwani idadi yao kuwa wengi ndio wawe wanajiteua kwa upendeleo?
 
Hata kura kuanzia leo tupige kikabila tu, kama mtu siyo wa kabila lako mpotezee.Kwa mtindo huu hata Shibuda atakuwa Rais wa JMT, nani aliwakataza kuzaliana ma.mae
 
Nilikupa Mfano wa Nyerere kwa makusudi maana nilijua utakuja na point za kutetea 'Nepotism' yake

Basi tumia point hizo hizo kumtetea JPM kuwa kumbe tatizo sio kuteua Ndugu zako issue ni jee wanastahiki au laa… basi wateule wa JPM ambao ni wasukuma tujadili sifa zao kama wanastahiki au laa sio kuleta issue za kikabila…
Sio sahihi kujaza chuki zenu za kikabila wakati mnaupinga ukabila

Nashangaa hata wale waliokula fursa za kibiashara wakati wa Anna Mkapa nao eti wanapinga 'ukabila' wa Wasukuma… hata wale waliolamba 'fursa' wakati wa Kimei CRDB nao eti 'wamehuzunishwa' na ukabila wa JPM
Nimekuuliza unafahamu vizuri historia ya Joseph Nyerere kwenye kupigania uhuru wa nchi hii? Hiyo ya Karume ina tatizo gani? Maana ni yeye na mdogo wake tu walishakula shavu kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom