Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwani makabila mengine nayo hayakuwa na watu wenye sifa hizo hadi ateue kabila lake tu kwa wingi?Kwani Rais akiwa kabila fulani maana yake watu wa kabila lile wanapoteza haki na fursa ya kuwa Viongozi hata kama wana sifa na Vigezo?
Si sahihi kupinga ukabila kwa njia za kikabila
Ila kwenye utawala wa Mwendazake ukabila, kejeli, matusi, upendeleo na chuki za waziwazi vilizidi bana..Kwani Rais akiwa kabila fulani maana yake watu wa kabila lile wanapoteza haki na fursa ya kuwa Viongozi hata kama wana sifa na Vigezo?
Si sahihi kupinga ukabila kwa njia za kikabila
Kwani makabila mengine nayo hayakuwa na watu wenye sifa hizo hadi ateue kabila lake tu kwa wingi?
Nani huyo?Mkurugenzi wa Tarime from Hutu land kabisaaa .
Ila kwenye utawala wa Mwendazake ukabila, kejeli, matusi, upendeleo na chuki za waziwazi vilizidi bana..
Unamfahamu vizuri marehemu Joseph Nyerere? Unajua alikuwa nani ndani ya TANU? Lini hayati Karume alimteua Amani Karume?Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi
Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?
Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?
Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila
Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi
Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?
Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?
Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila
Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Kweli?Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!
Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu
Naungana na.wewe, yule aliteua kwa utashi wake na inawezekana wapo waliobebwa lakini na wao walikuwa na sifa. Tatizo ni pale waliobebwa walipoharibu lakini wakaendelea kukumbatiwa kama ilivyotokea kwa Makonda. Hata hivyo si wakati wa kusakama watu tukaonekana na sisi tuliokuwa tunampinga tuko kama yeye. Ameondoka na madhaifu yake makubwa tumwache aende zake.Ni kweli kulikuwa na hisia za upendeleo lakin tusitumie kigezo hicho kuanza kuwaandama, tutakuwa tunaharibu Tanzania yetu adheem
Unamfahamu vizuri marehemu Joseph Nyerere? Unajua alikuwa nani ndani ya TANU? Lini hayati Karume alimteua Amani Karume?
Sikuwahi tambua hata kidogo kuwa Wasukuma ni wakabila namna hii ndani ya nchi hii! Hawafai hata kidogo!!
Afadhali viongozi watoke kwenye makabila madogo madogo kwa sasa! Ila wasukuma hapana tema mate chini, ptuuu
Hapana mkuu kama kuna waliobebwa kwa ukabila waondolewe. Acha ujinga kabisa. Yaani watu mil 60 wasukuma tu ndio wawe wanasifa kwa asilimia 80?Naungana na.wewe, yule aliteua kwa utashi wake na inawezekana wapo waliobebwa lakini na wao walikuwa na sifa. Tatizo ni pale waliobebwa walipoharibu lakini wakaendelea kukumbatiwa kama ilivyotokea kwa Makonda. Hata hivyo si wakati wa kusakama watu tukaonekana na sisi tuliokuwa tunampinga tuko kama yeye. Ameondoka na madhaifu yake makubwa tumwache aende zake.
Je alikuwa sahihi? Two wrongs do not make one right!Katika hao uliowataja tupe jina la ambae hakuwa na sifa lakini akalamba uteuzi
Unajua hata Nyerere alishawahi kumteua Mdogo wake wa damu Joseph Nyerere kuwa Mbunge wa kuteuliwa?
Unajua kuwa Hayati Mzee Abeid Aman Karume (1st President wa Znz) alimteua Mwanae Amani Abeid Aman Karume
(6th President of Znz) kuwa 'Doto James' wa Znz mwaka 1969?
Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila
Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Nimekuuliza unafahamu vizuri historia ya Joseph Nyerere kwenye kupigania uhuru wa nchi hii? Hiyo ya Karume ina tatizo gani? Maana ni yeye na mdogo wake tu walishakula shavu kubwa.Wewe unapaswa kubisha kuwa Nyerere hakumteua Mdogo wake kuwa Mbunge, sio kuuliza maswali ya kitoto!
Unauliza lini Hayati Karume alimteua Mwanae kuwa 'Doto James' wakati kwny comment uliyo quote nimeweka mwaka unataka jibu gani la zaid?