Majina yanaweza kuelezea muonekano na tabia ya mtu

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Nimewahi kuisikia hii na pia kuishuhudia kwa kiasi fulani (Though sio kiasi cha ku conclude findings zangu) Kwa mfano;

Magreth/Mage/Meg - Hawa wengi huwa wanene na weupe kiasi ila huwa wanakuwa very naive kiasi cha kuburuzwa kwenye mkumbo bila wao kupenda.
Suzanne/Sizana/Sizzie - Hawa huwa na maumbo mazuri na warembo wa kuvutia, wengi wao huwa weupe ila sasa ni mapepe wa kufa mtu.
Emmanuel - Hawa huwa watu wa kawaida sana na mara nyingi wanakuwa wacha mungu na wengi wanakuwa washamba washamba hivi
Steven/Steve - Hawa huwa wanakuwa wazinzi wa hatari
Jacqueline - Hawa huwa wanakuwa warembo sana lakini wengi wao pamoja na urembo wao huwa wake wazuri na waaminifu.

Mnaweza kuongeza mengine
 
Jacqueline wolper anaweza kuwa mke mzuri?
Magreth ni mrembo?mnene?
Ila hapo kwenye kufuata mkumbo labda
 
Haaa yule Manka anafaa kuwa mke mzuri kwenye sinema
 
rosemary ni machepele sana.....

christopher ni watukutu na hawapendi kuburuzwa....

Francis ni wapole...watulivu.... wanamvuto ......na watanashati......
 
Nimewahi kuisikia hii na pia kuishuhudia kwa kiasi fulani (Though sio kiasi cha ku conclude findings zangu) Kwa mfano;

Magreth/Mage/Meg - Hawa wengi huwa wanene na weupe kiasi ila huwa wanakuwa very naive kiasi cha kuburuzwa kwenye mkumbo bila wao kupenda.
Suzanne/Sizana/Sizzie - Hawa huwa na maumbo mazuri na warembo wa kuvutia, wengi wao huwa weupe ila sasa ni mapepe wa kufa mtu.
Emmanuel - Hawa huwa watu wa kawaida sana na mara nyingi wanakuwa wacha mungu na wengi wanakuwa washamba washamba hivi
Steven/Steve - Hawa huwa wanakuwa wazinzi wa hatari
Jacqueline - Hawa huwa wanakuwa warembo sana lakini wengi wao pamoja na urembo wao huwa wake wazuri na waaminifu.

Mnaweza kuongeza mengine

Na preety je?
 
rosemary ni machepele sana.....

christopher ni watukutu na hawapendi kuburuzwa....

Francis ni wapole...watulivu.... wanamvuto ......na watanashati......
Hahahaha BOIFURENDI wako anaitwa Francis eeh?
 
Na preety je?
Hawa n
huwa wanajiamini sana na kujiona wazuri hata kama kiukweli hawana uzuri huo wanaojihisi wanao. Halafu wanapiga mizinga haooooo!
 
Hahahaha BOIFURENDI wako anaitwa Francis eeh?

wala nina mdogo wangu anaitwa Francis na nina marafiki wa majina hayo....ndo sifa zao hizo....

na nina mdogo anaitwa christopher ni pasua kichwa haswa......
 
Hahahahaa haya wee
 
Johnson ni handsome halafu wana akili sana ila hawajatulia
 
Back
Top Bottom