Majina yanaweza kuelezea muonekano na tabia ya mtu

Majina yanaweza kuelezea muonekano na tabia ya mtu

Mkuu hapo kwenye Emmanni kweli kabisa maana nimewajua kama wa4 hiv wote wana mambo hayo hayo
 
Haya yote naona majina ya kidhungu,mbona majina ya kinyumbani sijayaona,? Na mnasemaje kuhusu majina kama marwa,chacha,masawe,mushi,n.k? Na kwa wale ambao wana majina mawili, yaani masawe na eliah unatumia jina gani kumuongelea?
 
Hata mi nasubiri nione watu hao wapoje
Noel kwa mwanaume au Noela kwa mwanamke hasa wale ambao nimefanikiwa kukutana nao mimi wana sifa zinazoendana endana na wale wenye majina ya Emmanuel au Emmanuela ila tofauti yao ni kwamba
Noela wengi huwa warembo na wanaopenda kujionyesha kwasababu hujijua kuwa ni warembo
Noel wengi huwa wapole na wengi wao huwa na akili sana za darasani
Nolela pamoja na kuwa na akili za darasani, huwa wanapumbazwa na urembo wao na mara nyingi hawafanyi vizuri sana shuleni
 
Mchumba wangu anaitwa Noel yupo hivyohivyo!
 
partner umeanza lini tabia za watu wanaoitwa Mtambuzi?
 
Last edited by a moderator:
speaking of Mtambuzi where is he?
sijui kalowekewa suruali pande za wapi huyu mzee!
ebana Mtambuzi enh mwambie hidaya basi akuachie bana ukue huku!
manake kina hidaya nao!eheehhehheh!
 
Last edited by a moderator:
partner umeanza lini tabia za watu wanaoitwa Mtambuzi?
Partner, mwenzio nimefanya tathmini ya watu niliowahi kukutana nao tu na namna gani majina yao yalivyoweza kuwatafsiri. Mzima wewe lakini snowhite
 
Last edited by a moderator:
M'Jr in as much as nakataa ukweli wa mada yako lakini nimecheka sana kwani katika kila jina ulilotaja hajakosekana mtu nimfahamuye mwenye sifa hizo...lol very funny.

naomba tafsiri za: William, Mariam, Dorah, Habiba, Samuel kwa kuanzia.

cc: Mtambuzi ...umepata mwanafunzi huku.
 
Last edited by a moderator:
Haya sie na majina ya kikwetu vipi? Andombwike ,afulilwe ,tuntufye,ngemeburwe, nyakisigalile ,kityaga,semeni,havijawa,sijali ,siyasemi.atupele,pandu, bwengo ,mkulupalile!
 
akina Anna/ Anne ni watu wasio na visirani na wanapenda sana kuwa na marafiki wa aina zote, ila wana wivu balaa.
 
Haya sie na majina ya kikwetu vipi? Andombwike ,afulilwe ,tuntufye,ngemeburwe, nyakisigalile ,kityaga,semeni,havijawa,sijali ,siyasemi.atupele,pandu, bwengo ,mkulupalile!
Hayo yote yanaonyesha utuku kwa Kyala
 
Back
Top Bottom