Majina yanaweza kuelezea muonekano na tabia ya mtu

Majina yanaweza kuelezea muonekano na tabia ya mtu

hivi mkuu na wanaoanzia na herufi V wanakuwaje?
yaani akina vaileth, vivian, vi...or aron,
 
Jamani jamani !!!!

Mamndenyi . .shkamoo mama. Boni ta nndenyi??!

M'Jr we hujisikii??!
Lizzy mi nasikia maneno ninayoongea, lakini sio kujisikia hivyo ninavyomaanisha hapo....hALAFU NIMEKUMISS BHANA SIKU NYINGI MNO
 
Last edited by a moderator:
hivi mkuu na wanaoanzia na herufi V wanakuwaje?
yaani akina vaileth, vivian, vi...or aron,
Well kwanza nimeanza kujua jina lako kwa mbaliiii, anyway majina niliyoyataja hapo ni kutokana na experience tu mamy sio utaalamu wetu ule ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
na wale akina eddo nao wakoje kitabia?
Kina Edward aka Eddo. Wale niliowahi kukutana nao kwanza wengi wao ni wembamba warefu kiasi, wako very smart kwenye mavazi ila huwa wanakuwa wazinzi wa kimya kimya
 
Nimewahi kuisikia hii na pia kuishuhudia kwa kiasi fulani (Though sio kiasi cha ku conclude findings zangu) Kwa mfano;

Magreth/Mage/Meg - Hawa wengi huwa wanene na weupe kiasi ila huwa wanakuwa very naive kiasi cha kuburuzwa kwenye mkumbo bila wao kupenda.
Suzanne/Sizana/Sizzie - Hawa huwa na maumbo mazuri na warembo wa kuvutia, wengi wao huwa weupe ila sasa ni mapepe wa kufa mtu.
Emmanuel - Hawa huwa watu wa kawaida sana na mara nyingi wanakuwa wacha mungu na wengi wanakuwa washamba washamba hivi
Steven/Steve - Hawa huwa wanakuwa wazinzi wa hatari
Jacqueline - Hawa huwa wanakuwa warembo sana lakini wengi wao pamoja na urembo wao huwa wake wazuri na waaminifu.

Mnaweza kuongeza mengine

Wengine ni wa kupigia picha tu
 
Yaani kama ulikuwepo ndugu yangu maana tabia na muonekano ulioutaja hapo vyote ni sawa kabisa
kina edward aka eddo. Wale niliowahi kukutana nao kwanza wengi wao ni wembamba warefu kiasi, wako very smart kwenye mavazi ila huwa wanakuwa wazinzi wa kimya kimya
 
Lizzy mi nasikia maneno ninayoongea, lakini sio kujisikia hivyo ninavyomaanisha hapo....hALAFU NIMEKUMISS BHANA SIKU NYINGI MNO

Unajisikia bana...kila mtu anajisikia kwa namna moja ama nyingine hata kama ni kisirisiri.

Hujanimiss sana bana . .ungeshanitafuta ;-)
 
Last edited by a moderator:
Unajisikia bana...kila mtu anajisikia kwa namna moja ama nyingine hata kama ni kisirisiri.

Hujanimiss sana bana . .ungeshanitafuta ;-)
Haaaa mpaka nilikuanzishia sredi humu kweli sijakumiss tu jamani!
 
Kina Maria huwa ni wapole, wasikivu na wananidhamu. Halafu vilevile ni wanapenda dini.
 
uzi wa huyu jamaa wote ni wajuao wanasifa alizzozitaja hapo. hakuacha kitu
 
Back
Top Bottom