milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,063
Kama namuona Suzzy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaLilian ni vicheche
THIIIIIIS BIG MUCH?Partner hilo neno lako limeshuka mithili ya soda baridi kooni,
Nimefarijika kuona coment yako mithili ya mtoto aletewapo zawadi baada ya ahadi ya muda mrefu.
I Missed You ......... This......... Much
hahaaaHaaa yule Manka anafaa kuwa mke mzuri kwenye sinema
huyo Christopher habari yake aiseewala nina mdogo wangu anaitwa Francis na nina marafiki wa majina hayo....ndo sifa zao hizo....
na nina mdogo anaitwa christopher ni pasua kichwa haswa......