stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Je majna ya noel au noelah?
Noel kwa mwanaume au Noela kwa mwanamke hasa wale ambao nimefanikiwa kukutana nao mimi wana sifa zinazoendana endana na wale wenye majina ya Emmanuel au Emmanuela ila tofauti yao ni kwambaHata mi nasubiri nione watu hao wapoje
Hata mi nasubiri nione watu hao wapoje
Noel kwa mwanaume au Noela kwa mwanamke hasa wale ambao nimefanikiwa kukutana nao mimi wana sifa zinazoendana endana na wale wenye majina ya Emmanuel au Emmanuela ila tofauti yao ni kwamba
Noela wengi huwa warembo na wanaopenda kujionyesha kwasababu hujijua kuwa ni warembo
Noel wengi huwa wapole na wengi wao huwa na akili sana za darasani
Nolela pamoja na kuwa na akili za darasani, huwa wanapumbazwa na urembo wao na mara nyingi hawafanyi vizuri sana shuleni
Mchumba wangu anaitwa Noel yupo hivyohivyo!
Queen wametulia;
Hayo yote yanaonyesha utuku kwa KyalaHaya sie na majina ya kikwetu vipi? Andombwike ,afulilwe ,tuntufye,ngemeburwe, nyakisigalile ,kityaga,semeni,havijawa,sijali ,siyasemi.atupele,pandu, bwengo ,mkulupalile!