Majina yanaweza kuelezea muonekano na tabia ya mtu

Makonda anakuwa na tabia za anaconda
 
still feel the same!
I MISS YOU!

Partner hilo neno lako limeshuka mithili ya soda baridi kooni,
Nimefarijika kuona coment yako mithili ya mtoto aletewapo zawadi baada ya ahadi ya muda mrefu.

I Missed You ......... This......... Much
 
Partner hilo neno lako limeshuka mithili ya soda baridi kooni,
Nimefarijika kuona coment yako mithili ya mtoto aletewapo zawadi baada ya ahadi ya muda mrefu.

I Missed You ......... This......... Much
THIIIIIIS BIG MUCH?
 
wala nina mdogo wangu anaitwa Francis na nina marafiki wa majina hayo....ndo sifa zao hizo....

na nina mdogo anaitwa christopher ni pasua kichwa haswa......
huyo Christopher habari yake aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…